Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.
Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.
Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.
Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam