Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ni kweli nakumbuka Mmawia ndio aliasisi hii Nahau kama sijakoseaKwema Wakuu!
Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.
Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.
Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.
Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
[emoji23][emoji23][emoji23]Kale kajamaa ni kajinga sanaNi kweli nakumbuka Mmawia ndio aliasisi hii Nahau kama sijakosea
Ni kweli nakumbuka Mmawia ndio aliasisi hii Nahau kama sijakosea
Umeandika kifupi Sana taikon
Wapinzani wa mitandaoni ni wa hovyo mno
Ni mbowe au zitto? Weka wazi, au lisu ndiye alianzisha?
NB:
Anzisheni na mengine, mkizingatia kuanzisha na vitega uchumi vya kusupport vyama kujitegemea mf.
Gazeti
Radio
Tv
Hivi kwanza vita wasaidia ktk kqmpeni mbalimbali na kupunguza malalamishi ya CCM dhidi ya wamiliki wa vyombo vya habari
Msimuachie mbowe pekee kumiliki radio pale machame na magazeti...
Jitahidini kuwekeza kwenye mali za kusaidia utendaji wa chama na sio kwenye matumbo
Mna tembea sana ughaibuni, hizo pesa zisihishie kununua magari ya M4C bali ziende mbali sana, msishikwe na tamaa ya kula pesa kama mabilioni ya nywele nyeupe
Pambaneni na vyamq vyenu kuelekea uchaguzi mkuu, kubolonga kwa ccm kuwe mtaji kwenu/wenu
Hii kauli ilianzishwa na Godlisten Malisa na kina Lema wakifikiri wanamkomoa marehemu.
Kuna watu wapumbavu dunia hii
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa chadema na act ni wapinzani gani wakati hata akili hawanaKwema Wakuu!
Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.
Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.
Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.
Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mimi hapaWenye akili ni akina Nani?