Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League.
Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo Yanga ilikwishatolewa zamani tena kwenye hatua ya awali (preliminary stage) na Rivers ya Nigeria.
Swali ni je, Haji Manara atatengua kauli hiyo au ataendelea na msimamo wake wa kuyaita mashindano ya CAF Confederation kama kombe la "Losers"?
Ieleweke kuwa Yanga akishatolewa Sudan itabidi acheze tena mechi ya "Play off" ili kuweza kuingia makundi ya kombe la Shirikisho CAF
Mark my words.