Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hamna chema wala kizuri mbele ya Chadema. Kabila lenye kulaumu na kulalamika.Midomo juu sio kwa Kikwete wala Magu hata SSH ni bivyo hivyo.Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa,walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.
Swali, kwanini tumechagua njia hii ya utawala?
Umefufuka liniHamna chema wala kizuri mbele ya Chadema. Kabila lenye kulaumu na kulalamika.Midomo juu sio kwa Kikwete wala Magu hata SSH ni bivyo hivyo.
Kaeni kimya mnachosha.
Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa,walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.

Yeyote mwenye akili timmu ataliona hili! akitokea mtu akapata base akatangaza vita ya msituni , watafurika vijana. Mama anashauriwa vibaya, huyo aliyemshauri hili amemdanganya. tusifike huko, tusifike huko, tusifike hukobali tuamini asilimia kubwa ya wananchi wamesononeka na awatasiadia kudhibiti hii hali bali chuki dhidi ya serikali itaongezeka.
Tafakari kabla ya kuandika upupuHamna chema wala kizuri mbele ya Chadema. Kabila lenye kulaumu na kulalamika.Midomo juu sio kwa Kikwete wala Magu hata SSH ni bivyo hivyo.
Kaeni kimya mnachosha.