Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi?
Mnategemewa kuhabarisha umma juu ya yanayotokea na nyie mnaishia kuwa chawa na kupe wapuuzi wananchi watapata taarifa sahihi kweli?
Angalia hapo mwenyewe kwenye video, caption ilivyowekwa na watu waliohojiwa, baadhi ya media mnafeli sana!
====
"Baadhi ya Wananchi Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro wametoa maoni yao kuelekea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku wakigusia kauli ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwataka wananchi wapambane kwani "Uchaguzi ni Vita" aliyoitoa mbele ya wanachama wa chama hicho Kata ya Narumu Wilaya ya Hai wakati akiwasindikiza wagombea kuchukua na kurejesha fomu.
"Pia wananchi hao wamegusia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kata yao hasa juu ya Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe."