Kauli ya Mch. Mtikila kuhusu katiba mpya hii hapa


niliposoma muanzishaji wa huu uzi na kugundua kuwa ni wewe nilijua tu contents zitakuwa ni crap!!!

Anyway heri Chadema wanaodai Katiba kwa maslahi ya Tanzania kuliko yeye (Mtikila) aliyekuwa anadai katiba kwa kutaka umaarufu.
 
Kama udandiaji wao ndo umefikisha hatua ya katiba kupatikana basi HAWA NI WADANDIAJI WAZURI

kama mwanaume hana hata ubavu wa kudandia basi huyo ni mwanaume suruali.

Bravo Chadema. Hawali wakanya wakalala bila kulitaja neno Chadema.

Na bado!!
 
Shida ya Mtikila ndo hii tu '' KUTAKA UMAARUFU '' !! Ona sasa hapa anawaona Chadema kama wa Binafsi!!! Bila kujua kuwa Nguvu ya Chadema kwa sasa ndio inayoleta mabadiliko yote tuyaonayo sasa...Mtikila nitamsifu kwa kitu kimoja tu.....''' Ni migania uhuru mzuri....anaifahamu mahakama vizuri na anaitumia vizuri'' shida yake mbinafsi!!! akubali kuwa Chadema ni Chama Mbadala ashirikiane nacho ili Watanzania wote wafikie lengo moja ambalo ni katiba Mpya. Pili asikimbilie kuomba raisi amjumuishe kwenye tume ya katiba...Bali ashirikiane kushinikiza raisi kuhusu ujumuishaji wa wananchi wote katika mchakato wa katiba kama walivyofanya ndugu zetu wa Kenya....
 
hadi leo tunaendelea kulia na katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…