CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
huyu jamaa uwezo wake wa kuelewa unatia mashaka na unashangaa Tabora walifikiria nini kumfanya mwakilishi wao.Mh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu. Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
Tusi poteze muda kumjadili mtu mwepesi kama rage.
Najua amefanya makusudi ili wananchi wamjadili.
Kweli tabora mlijitahidi kutuchagulia mbunge wakati chadema wawaumbua wezi wa maliasili zetu,ccm wanawaita fool?
umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango? huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!
Kuna kosa gani kumuita mtu a fool?
Kuna kosa gani kumuita mtu a fool?
Unamaanisha yule haramia mstaafu aliyekwiba zawadi ya Yanga pia??umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango? huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!