Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

Sawa kwani kwao kama kuzuri wanafuata nini huku? Halafu jamani hata wasomali Rage, Kinana? Na kwa nini CCM tu??
 
Arudi kwao ndugu zake wamuhitaji.
 
Attachments

  • 405612_145182682261926_100003105857573_195171_58556132_n.jpg
    13.5 KB · Views: 55
msingwa ndio yule alihoji kwanini zanzabar mwezi wa ramadhan watu hawali mchana ..? kama ni yeye .. rage haja kosea...
 
Hapo uliposema ndio maana Simba haisongi mbele nakuunga mkono:happy:
 
Kwa hili la kutamka neno fool si jambo jema na halifai hasa kwa mtu ambaye ni mwakilishi wa wananchi,mbaya zaidi wakati huu anafunga,hivi anaelewekaje katika jamii na wanadini wenzie?
Kwa hili amepotoka na yafaa amrudie Mungu
 
mkuu, tatizo wanyamwezi wanapenda sana kuongozwa na watu weupe. mwarabu kawaachia legacy mbaya sana. ni basi tu lunyasi chama langu lkn huyu alshaabab hamna kitu kabisa.
 
Another fool!!!

Fool ni huyo mchungaji mbaye alijaribu to stick his nose where it doesn't belong! wapi na wapi mchungaji akahoji waislam kuhusu ibada yao.. esp. Funga!

Rage hajakosea kabisa!
 
Uko sahihi, Okwi yupo Bongo! Sijui atawaelezaje wanachama wa Simba. msubiri tu utaona kuwa busara zake ni questionable.
 
I like such comments, because it expresses how are you. Unajua kujieleza sana mara nyingi kuna mawili. (1) waweza kujieleza ukaonesha umahiri wako katika mawazo, lakini pia pili yake, the other way round can also be true.
 
Vp hakuna mbunge aliyeomba muongozo kwa kauli hiyo? By the way Rage si mtu wa maana kabisa
 
Vp hakuna mbunge aliyeomba muongozo kwa kauli hiyo? By the way Rage si mtu wa maana kabisa
Naomba uondoe dhana kuwa wabunge wote wana busara. Hii inathibitishwa na hoja wanazo toa wakiwa bungeni, ambazo kwa bahati mbaya sana TBC wanarusha LIVE, bila kuchuja, na kwa kufanya hivyo, waweza kuona mawazo ambayo jamii inayakubali kama ya busara, na ya upande wa pili vilevile.
 
mkuu, tatizo wanyamwezi wanapenda sana kuongozwa na watu weupe. mwarabu kawaachia legacy mbaya sana. ni basi tu lunyasi chama langu lkn huyu alshaabab hamna kitu kabisa.

Wewe utakuwa UnatoDog.
 
....mwandishi kwanza umekosea kumuita mheshimiwa huyu jamaa,kwanza si mtanzania alafu akili yake ilivurugika wakati amefungwa, yeye ndo fool
 
Rage alishawahi kutumikia kifungo kwa sababu ya wizi. Wahenga walishawahi kunena: Mwizi ni mwizi tuu, hawezi kuwa muungwana.Hii alikuja kuidhihirisha tena pale alipopanda na bastola kwenye jukwaa la mkutano wa kampeni kule Igunga. Once a thief, always a thief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…