Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!


Mhe. Rage kasema "Never urgue with a fool, No one will know the difference" na kuongezea "Sheik/Padri akifanya uzinifu haimaanishi na waumini wote ni wazinzi" Nijuavyo mimi hii ni misemo tu ya wanasiasa wanapotaka kujenga hoja, Hajampoint Mhe. Msigwa kwamba yeye ndio fool.
Zaidi nilivyomsikia alikua anazungumzia kwamba Mhimili mmoja wa nchi hauwezi kuingilia maamuzi ya muhimili mwingine. ie; Bunge haliwezi kuingilia maamuzi ya Mahakama and vice versa.
 
Mmh! Watu wa Tabora ni wa kuhurumiwa tu.
 
your are a fool.

Niambie kama kuna kosa hapo!:yawn:

Baada ya msigwa kuongea , Aden alkasema hivi: Waingereza wanasema methali kuwa "Do not argue with a fool, people might not see the difference". kama mnabishana na baba yako, akiimaliza kusema unaweza kumwambia hivyo?
 

Ukiwa unabishana na baba yako mkapingana , utamwambia hivyo? Ukijibu hilo
 
Rage is a convicted CRIMINAL before the court of law. That is a PLAIN TRUTH. It is because of our bad constitution that is why he is out of jail. If it was not that, Rage should be behind bars and not in the parliament. I stand to be corrected.
 
"dont argue with a fool" huu msemo watu kama Rage nirahisi kuutumia bila kujua nini maana yake au wakati gani unabidi kutumia msemo au maneno hayo. Mimi siwashangai wapiga kula wake bali yeye na familia yake pamoja na chama chake.
 
Ukiwa unabishana na baba yako mkapingana , utamwambia hivyo? Ukijibu hilo

"Never Urgue....never urgue with a fool" Huwezi kumtukana mtu kwa style hii...Sana utamwambia "You are a Fool"
Umeona tofauti? Vitu vingine sio lazima shule jamani.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema; Ibara ya 18(a) Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake. Ndicho alichofanya Rage na wewe pia umetumia uhuru huo huo kupotosha kile alichomaanisha Rage.
Kwa nini umeshikilia neno "FOOL" pekee? Hujaona eneo lingine zaidi ya hapo? Mbona hukuweka hata hiyo statement yote kama nilivyoiweka mimi basi ili watakaosoma waelewe the whole concept na sio kuwabana kwenye neno FOOL pekee?
Kwa style hii hakuna harakati hapo.....Mtaishia kubwabwaja tu.
Karibuni ADC tuna semina elekezi za namna gani tunaweza kufanya siasa za kistaarabu/kushindana kwa hoja na sio kutukana tukana ovyo.
 

Unaona sasa unatukana watu kuwaita wanabwabwaja! nakuacha kama ulivyo. lakini hujajibu swali langu, utamtolea methali kama hiyo baba yako?
 

pia na wewe unasifa zote zakuitwa a fool kama rage alivyomuita msigwa. Usiwd mjinga kiasi hicho. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Pole mjinga.
 

Wajameni tumsamehe tu bure, mtu si raia, aliwahi kufungwa na kutolewa kwa msamaha wenye utata, anatishia watu kwa bastola, unategemea ataishi vpi nchi ya watu bila kujipendekeza.
 
wakuu samahani hivyi ile kesi yake ya kuwa na bastola kiunoni kwenyekampeni iliishia vp? pili na yeye anatumia yale mambo yalokamatwa yanaenda uturuki.? labda yule mbunge mwenzake anampatia na yeye si wa huko huko
 

mkuu labda kwa kuwa serkali yetu imedeclare rangi nyeusi inayowawakilisha watanzania kwenye bendera yetu.
 
Chuachakara

Wakati huyo mchungaji feki alivyo anza hotuba alisema nini? Give us the Quotation verbatim kama sio kejeli ni nini? Acheni kulialia magwanda what goes around comes around! Kwani Lukuvi alivyo omba mwongozo alikuwa hatafakari yaliyosemwa? Acha kuzunga watu na pumba za chama chenu cha wachovu. We want concrete evidence that Rage called the fake minister a fool BRING THE WHOLE CLIP SO PEOPLE CAN FORM THEIR OWN OPINION!!
 
Somalia haijapata uhuru? Hivi yeye atapewa kitambulisho cha uraia? Yeye ni mwizi, msomali na mkimbizi, tafadhali uhamiaji toeni uharo huo!
 
Hotuba ya upinzani leo bungeni imesema kuwa Mwenyekiti wa CCM ni Jangili ....lakini jina la Huyo mwenyekiti chadema wamelikosea wakataja Jina la Kiongozi wa chadema

Kwa hiyo CCM wakapata point ya Kumshambulia MSIGWA
 
Rage ni al shabab wa kweli, hana lolote astupotezee muda humu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…