Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

What else do you call a fool? a fool is simply a fool.

Nothing wrong with that. Is he not a fool?
 
What else do you a fool? a fool is simply a fool.

Nothing wrong with that. Is he not a fool?

There is no any other polite way of describing this foolish MP Msigwa than calling him a FOOL.
 
Rage ni sawa na mwimba taarab za mipasho hafai kuwa mwakilishi wa watu.
 
I can prove this
 
Sioni ajabu kwa msomali kuwa na lugha chafu
 
i dont believe on the color of the skin, kama rage akawe mbunge somalia, how about Obama?

Marekani anybody can be a president maana wote wahamiaji! pili imechukua miaka mingapi kwa marekani kupata rais angalau mwenye damu ya kiafrica? na itachukua mingapi zaidi kupata rais mweusi kabisa asiye na dalili za kizungu??
 
Hakuna mtu anachukia wageni au watanzania wenye asili ya nchi zingine! Ninacholaani ni watanzania wenye asili zingine wanavyowanyayasa wazawa, mfano wahindi wanavonyanyasa wafanyakazi wa ndani au wafanyakazi kwenye maduka yao! au wasomali wenye ubabe wa kijinga kama Rage! au watanzania wenye asili zingine kama akina rostam na manji wanavohamisha uchumi wetu na kuhamishia canada na kwingineko halafu hawafuati sheria za nchi maana wamenunua viongozi! mtu akiitwa sio raia ana haki ya kwenda mahakamani, mfano rage sio raia!!
 
What else do you call a fool? a fool is simply a fool.

Nothing wrong with that. Is he not a fool?
Mheshimiwa, Mkuu, Ndugu zomba, hata kama mtu ni mpumbavu, nadhani kwa itifaki za bungeni hawaitani hivyo. Unataka kusema wale tunaowajua kuwa ni mafisadi, tuwaite hivyo bungeni au popote hadharani? Kwa nini maneno Silly na Dhaifu yalikemewa au ndio yale ya mkuki kwa nguruwe?
 
Ismail Rage,Kasim Dewji,Hassan Hasanoo ndio wanaongoza kwa kununua pembe za tembo hapa dar!ofisi yao ipo haidery plaza!na huzibeba kwa magari ya STK ofisi ya waziri mkuu toka lindi.Ipo siku mtaamini maneno yangu
Inawezekana lakini mboja kama chuki kwa MSIMBAZI?
 
kaaaz kwelikweli
 
Msameheni bure! Bado ana mawenge ya jela!
 

Sasa Rage sio mzawa? ikiwa Rage sio mzawa basi hata Nyerere sio mzawa. Soma!
 
Jamani alichokisema msimshangae ni sawa na umwambie mmasai akafanye kazi ya uvuvi utakuwa unamuonea maana atavua vyura sa sa mheshomiwa lage amekuwa misplaced kwenye siasa wakati angefaa kwenye makuli
 

Fisadi anabaki kuwa fisadi, hata anaemsingizia mtu kuwa ni fisadi bila ushahidi basi nae ni fisadi tu. Mpumbavu anabaki kuwa mpumbavu tu, hata umbadilishe habadiliki.
 
Ukiwa unabishana na baba yako mkapingana , utamwambia hivyo? Ukijibu hilo
Hapa sio baba na mwana ni wana siasa kwa wanasiasa na siasa ni mchezo mchafu ndio kazi ya siasa unaweza ambiwa kaa chini usitafute sifa za bure magazetini unawashwa hii ndio siasa unatakiwa ustahamili fool maana yake ni mjinga sasa mjinga maana yake nini ?

Ni kutokujua au kufahamu kuhusu jambo fulani, mfano kama wewe ni mfugaji huwezi kujua kazi ya udaktari na maradhi kwa hiyo ni mjinga wa fani ya afya hivyo sio tusi
 
Huyu al shababy si alishawahi kufungwa? hivi sheria zinasemaje kwa nini aliruhusiwa kugombea Ubunge? kwani anaonekana hana ustarabu kabisa na hafai kuwa mheshimiwa.
 
Hasa akiwa anaoana na maana ye neno hilo. Au kwa sababu ni wa chadema? He is indeed a fool!

Kwa kuwa ubongo wenu unamagamba mnashindwa kutofautisha neno fool na dhaifu mukulu akiitwa dhaif mnamaindi
 
Sioni ajabu kwa msomali kuwa na lugha chafu

Stop being a Racist!
Ismail Aden Rage ni Mtanzania kama alivyo Mchungaji Msigwa, Mohamed Dewji, Salim Ahmed Salim, John Mnyika, mimi na hata wewe japo sina hakika na wewe kwani waTanzania hatuamini kwenye kubaguana kwa rangi, dini wala kabila.
 
Sukubaliani na kumpinga kwa sababu ya usomali wake, nadhani ni haki kwa kila mwanaadamu kushiriki kwenye shughuli za maendeleo ya jamii anamoishi ikijumuisha kupata fursa ya uongozi.

Lakini inapokuja kwenye historia yake ya kupatikana na makosa ya wizi na ubadhirifu kwa FAT, uwezo wake mdogo sana wa kujenga hoja, na hulka mbovu ya kutembea na silaha za moto hadharani hata mimi nashangaa imewezekanaje kupata nafasi ya uongozi kubwa namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…