Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
How can you call some one a fool without pointing out his/her foolishness? Surely, Aden Rage was unnecessarily arrogant and imbecile.What else do you call a fool? a fool is simply a fool.
Nothing wrong with that. Is he not a fool?
Poor Ecoli, go back to stylistic lessons! otherwise tell us that you are obsessed with venomous hatred against Mp Msigwa!There is no any other polite way of describing this foolish MP Msigwa than calling him a FOOL.
Kuanzia leo nahama simba
Ukitaka kujua ni kwa nini Watanzania wanamsema vibaya Rage fuatilia yanayojili Somalia kuhusu Wasomali ambao Somali si asili yao kama wale wenye asili ya Wazigua.Ni wiki jana tu nilisikia wakilalamika BBC kwamba tangu Somali ijitawale jamii hiyo hawarusiwi hata kuchanganyika na Wasomali.hivi kwanini watanzania hatuna uzalendo wa kuheshimu watanzania wenye asili nyingine??hakuna nchi duniani inayoendelea na wazawa peke yake ndio maana toka zamani wakulima na wafugaji walikuwa wanahama hama ili kutafuta maendeleo,sasa mimi naona itungwe sheria mtu yeyote atayemwambia mtu wewe sio raia wa tanzania bila uthibitisho alipe faini au apewe kifungo kwani hiyo iko mpaka mitaani watanzania wenye asili mbalimbali wanapata shida ya kutukanwa kuwa siyo watanzania kwa kuwa tu rangi yao ipo tofauti.
Poor Ecoli, go back to stylistic lessons! otherwise tell us that you are obsessed with venomous hatred against Mp Msigwa!
Surely hatred never wins!Obsessed na FOOL?
There is no any other polite way of describing this foolish MP Msigwa than calling him a FOOL.
Alaa! kumbe na wewe ni fool!! kweli kazi tunayo humu JFKuna kosa gani kumuita mtu a fool?
Mh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu.
Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
How can you call some one a fool without pointing out his/her foolishness? Surely, Aden Rage was unnecessarily arrogant and imbecile.
very true just like you... an ass licker, cheap tokenWhat else do you call a fool? a fool is simply a fool.
Nothing wrong with that. Is he not a fool?
"Never Urgue....never urgue with a fool" Huwezi kumtukana mtu kwa style hii...Sana utamwambia "You are a Fool"
Umeona tofauti? Vitu vingine sio lazima shule jamani.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema; Ibara ya 18(a) Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake. Ndicho alichofanya Rage na wewe pia umetumia uhuru huo huo kupotosha kile alichomaanisha Rage.
Kwa nini umeshikilia neno "FOOL" pekee? Hujaona eneo lingine zaidi ya hapo? Mbona hukuweka hata hiyo statement yote kama nilivyoiweka mimi basi ili watakaosoma waelewe the whole concept na sio kuwabana kwenye neno FOOL pekee?
Kwa style hii hakuna harakati hapo.....Mtaishia kubwabwaja tu.
Karibuni ADC tuna semina elekezi za namna gani tunaweza kufanya siasa za kistaarabu/kushindana kwa hoja na sio kutukana tukana ovyo.
Kwa lugha hizi za Rage basi bora nihame simba, nitakua shabiki wa Manyema