Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

Ahahahahahahhahahahahahahaha!!
Rage bana kanichekesha kweli mwaka huu kumbe alikwenda Rwanda kunywa chai na Twite!!
 
Mie nilibaki hoi baada ya kusikia Rage akituhumu kuna mafisadi yanga wakati yeye yuko uraiani kwa msamaha wa Raisi kwa ufisadi huo huo rufaa ilikuja baadae. Hans Pope ndio kabisa alishafungwa kwa uhahini na Nyerere sasa sijui wasafi wako simba au yanga au recycling ya watu wale wale tu.

Kiukweli kwenye mpira wasafi ni wachache sana na wafanya bashara ya mafuta na magumashi ndio wako katika mipira na wakwepa kodi wakubwa wako huko pia. Watu wasafi hawawezi endesha mpira bongo sababu hakuna mifumo na fitna ndio zimeshika hatamu. Ndio maana michezo haipigi hatua wakati mabenki yanasonga mbele kwa kutambua umuhimu wa wataalamu wa ndani.

Kali kuliko wanasiasa nao wako michezoni kutafuta popularity na wengi wao sio wasafi hata kama walicheza mpira zamani.
 
Ni mara chache saana Kiongozi toka Magamba akawa makin na kazi yake uyu Mzee binafs simkubal ingekuwa vp ata Simba yenyee nngehama ila sabu naipenda sina namna
 
Mh. Rage usijisahau na CCM yako Simba kuna wanachama na na wapenzi wa vyama vyote ukicheza utachukiwa na Simba na ubunge utaukosa. CCM yako unayoitetea ina wenyewe we jipendekeze tu utaula wa chuya shauri yako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwao ni choma cha nkola nzega,ndio unayaka arudishwe huko?
 
Dah! Kumbe Rage alianza kitambo hizi kauli zake za kejeli!! Ndiyo huyu huyu aliyewaita wanachama wa klabu ya simba kuwa eti ni mbumbumbu kwenye ule mkutano wao wa klabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…