Kauli ya mh mbowe kuhusu civil dis obidience inahatarisha amani ya taifa letu

MWANAIDEA

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
23
Reaction score
1
Naomba nianze kwa kusema hivi (unapodai haki kwa kuvunja haki za wengine unaweza kupoteza hata hiyo haki unayoidai) kazi ya bunge ni kutunga sheria lakini wabunge ndio wamekua wa kwanza kuvunja sheria hizo wanazozitunga wao .

Hivi kauli aliyotamka freeman mbowe siku ya mkutano wa vyama shirika vya cuf,chadema na nccr -mageuzi kwamba siku ya tarehe 10/10/2013 itakua ndio siku ya civil dis obidience, na kauli ya pinda bungeni kua wale wote wanaokaidi amri halari wapigwe.

Tujiepushe na viongozi wa namna hii

tume ya haki za binadamu kwa mboe kutamka kauli hii mko wapi kumfungulia mashitaka au nyinyi ni wanachama wa chadema siwaelewi
 
Shwaini....
 
Anashinikiza Wananchi wavunje sheria, huyu ni kichaa kweli.
 
Kama sheria haina uhaki ni sawa ivunjwe. Ila kuvunjwa kwake kusisababishi madhara makubwa kuliko mafanikio.
Bila kuvunja sheria za uonevu Martin Luther King au ANC wangeshindwa kupindua oppressive regimes.
On this one I agree with him on principle, ila lazima organization ya civil disobedience iwe yenye ukomavu mkubwa ili isije kusababisha makubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom