johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbona unaandika Kama unakimbizwa,au ndiyo kukosa pesa za kampenikama hujahenga kupitia hizi kampeni, hautajenga tena..
ww na mond huenda mkawa mmeingiza kipato sawa kupitia jampeni hizo.
hongera kwako kwakujua kuchungulia fursa mapema, mm najutia kwel kupitwa na mkwanja huu
majuto mkuu...Mbona unaandika Kama unakimbizwa,au ndiyo kukosa pesa za kampeni
Kazi na Iendelee!Hakuna atakaepata raha mwaka huu!
Ndio maana wanahangaika.Sina hakika huko ccm mna furaha na amani kwa mazingira ya ushindi kishindo ambayo hayakuwa ya lazima. Rejeeni usia wa Mwalimu JK juu ya dhambi ya ubaguzi.
Hahahaha duh...thanksHakuna atakaepata raha mwaka huu!
Kauli ya daktari Mpango imenikumbusha enzi za mfumo wa chama kimoja cha siasa ambapo chama kilishika hatamu.
Wakati ule kiongozi aliweza kuongea neno lolote tena mahali popote bila kujali chochote kwa sababu chama kilimlinda.
Waziri mmoja aliwaambia wabunge " kalalamikeni kuzimu" na baadae waziri huyu akawa PM
Waziri mwingine akawaambia wabunge " kila mtu atabeba msalaba wake" naye akaja kuwa PM
Namshukuru sana Rais Magufuli kwa kuikemea kauli ya Dr Mpango pale pale hadharani, sisi wananchi tuliikataa Kazi na Bata na tumechagua Hapa Kazi Tu.
Maendeleo hayana vyama!