Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Watanzania kama mnakumbuka, moja ya kauli ya kibaguzi ni ile iliyowahi kutolewa Mwanza na Bwana yule akiagiza wakazi wa huko wasibomolewe kwa sababu eti walimpigia kura wakati Dar-es-Salaam watu walivunjiwa nyumba tena wengine wakiripotiwa kuwa na zuio la mahakama wasibomolewe.
Wito wangu ni kuwa, sambamba na kauli nyingine za kibaguzi, kauli hii pia itumike wakati wa kampeni kukumbusha umma wa Watanzania juu ya ubaguzi huu na zaidi jinsi watu walivyotaabika na kuteseka kufuatia bomoabomoe ile.
Mwaka huu wapinzani mna mtaji mzuri sana dhidi ya CCM na mgombea wao hivyo msifanye makosa.
Enough is enough, miaka mitano imetosha.