tusilalamike sana ndugu zangu ila tujilaumu sisi na ndugu zetu kwa kutoka kura zetu kwa viongozi kama hawa na sisi watanzania sijui huwa tunachagua viongozi kutokana na vya na sio uelewa wa mtu tusubir tena 2015😛lane😱yeeeeeeeeeeeeeee????????????
Muda mwingine minaona wadogo zangu siku moja mkusanyike hata kwenye ofisi za makao makuu ya ccm ilikujua ilani ya ccm ilikuwa ni wanafunzi wengi kukosa mikopo au?Na kujua nini kinaendelea kutoka kwenye vitu mlivyo ahidiwa kwenye uchaguzi wa 2010,maana hawa wenzetu wa ccm ndio waliotufikisha hapa leo na lakini pia kama kuna mtu atakuwa na uwezo wa kutoa msaada wa kisheria kuishtaki bodi ya mkopo ama serikali kushindwa kuwapa haki ya msingi ambayo ni elimu zaidi ya wanafunzi 23,000 waliokuwa wanatakiwa kujiunga na vyuo vikuu maana wengi wetu tunatoka kwenye familia za hali duni,Naumia sena kiukweli kuona wadogo zangu mnashindwa kupata haki yenu ya msingi,mm nimejiunga chuo kikuu Ardhi mwaka 2010 hakukuwa na matatizo haya kila aliesoma sayansi alikuwa anapata 100% hii ilitokana na ukweli kilikuwa kipindi cha uchaguzi