Kauli ya Mwana FA kwa wasanii wanaobadili rangi ya nywele

Pistol

Senior Member
Joined
Oct 13, 2015
Posts
194
Reaction score
86
Wakati style ya kubadili rangi ya nywele zao na kuweka rangi tofauti tofauti ikiendelea ku-trend, Mwana FA hajakaa kimya katika hilo.

Katika moja ya picha za Ommy Dimpoz ambazo anaonekana na akiwa amepaka rangi kichwani ambazo ameposti katika Instagram, Mwana FA ameandika; Hivi hizi nywele mmepatwa na nini safari hii nyi watoto kina Defao?smh.

Baada ya kuona comment hiyo Ommy Dimpoz alimjibu Mwana FA; mkubwa ukitaka kutisha piga pink .

Siku za hivi karibuni wasanii wengi wamekuwa wakipaka rangi tofauti tofauti katika nywele zao, miongoni mwao ni Ben Pol, Alikiba, Ommy Dimpoz, Lava Lava, Vanessa Mdee. Hapo awali kulikuwa na Harmonize, Queen Darleen na Amber Lulu ambao wanaendelea hadi sasa.

Chanzo:Bongo 5
 
kiba kaiga kwa harmorapa afu kapiga pink ya watoto wamama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…