Kauli ya mwenyekiti Mangungu kuhusu michango ya ujenzi wa kiwanja inafikirisha sana, bado haijawa wazi

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
"Simba imeshafanya mambo mengi makubwa, yaliyopita, yanayofanyika sasa na mengine yanakuja."

"Sisi mliotupa dhamana tupo tayari kupokea maoni ambayo yataipeleka Simba mbele."

"Lengo letu ni kujenga umoja. Mfano mtu anasema uwekezaji hauna faida wakati kabla ya uwekezaji mapato yalikuwa Tsh. 1.6 bilioni, mara baada ya uwekezaji yamepanda hadi Tsh. 6.9 bilioni. Afrika tulikuwa nafasi zaidi ya 80 kwenye ubora na sasa tupo nafasi ya saba. Tunataka ukosoaji wenye tija."

"Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja na pesa ile ilitumika kujenga ukuta wa uwanja wa Bunju na pesa zingine zilitumika kuimarisha kambi ya timu."

"Tujenge Simba imara kwa kizazi cha sasa na baadae. Tuendelee kushirikiana na naamini Mwenyezi Mungu atatutangulia. Mkutano umefunguliwa."- Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu. #SimbaAGM2023 #WenyeNchi #NguvuMoja

Swali: Kuimarisha kambi kimiundombinu ya ujenzi au virutubisho na starehe?dadavua

Pumbavu zangu sijui nimewaza nini[emoji23]
 
Au ndio imepelekwa katika matumizi mengine pasi na kushirikishwa waliochanga?
Au ndio hatujasema bado,MPAKA TUTHEMEEEE...[emoji23]
Najaribu kuwaza kwa sauti ya chinichini....
 
Mimi ni shabiki wa SIMBA SC ila nimejicheka kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
alikamwe-20240121-0001.jpg
 
Mimi ni shabiki wa SIMBA SC ila nimejicheka kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2878396
Timu inayojinasibu kuwa ni kubwa na Ina viongozi wanaojitambua ayo ndio mafanikio yake kwa msimu wa 2022-2023!!! Ufunguzi wa AFL nayo ni mafanikio inayojinasibu nayo! Kuendelea kuwa na ununifu wa kibegi nayo ni mafanikio ya Simba🤔🤣
Kufungua wasap channel nayo ni mafanikio kwa timu Kama Simba🤔🤣
Hii ni aibu ya mwaka!!
 
Mimi ni shabiki wa SIMBA SC ila nimejicheka kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2878396
Viongozi wenu wa Simba Ndio dira yenu, Ayo ni mawazo ya uongozi wenu mlionao kwa sasa.
Nyinyi ndio mlio wachagua, Kama viongozi wameona ayo ni mafanikio na wanachama wamepiga makofi kuyaunga mkono kwanini wengine mkasirike?
 
"Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja na pesa ile ilitumika kujenga ukuta wa uwanja wa Bunju na pesa zingine zilitumika kuimarisha kambi ya timu."

Swali: Kuimarisha kambi kimiundombinu ya ujenzi au virutubisho na starehe?dadavua
Ni wenye vichwa vizito tu ndio mtasema kuwa kauli hiyo haieleweki
 
Na hayo ni mafanikio Ya 2023/2024,

Hawajazungumzia mafanikio ya Historia..! Sijui 2022/2023 kurudi nyuma...muwe nnaelewa.
 
Watanzania mmezoea kudanganywa Timu umesema kweli hayo ndio mafanikio Yao mlitaka Waseme wamefanya tofauti na hayo hao wameona wawe wakweli Tu mjiongeze wenyewe
 
Kwa hiyo b… haya ndiyo mliyojadili na washkaji zako yawekwe kama mafanikio ya msimu? 🤣🤣
Mdakuzi
Mafanikio ya timu ni mkusanyiko wa kila kitu kinachowafanya mpige hatua. Simba kama taasisi ni lazima itaje mafanikio yake katika nyanja zote.

Kuwaza yatajwe mafanikio ya kimpira tu ni kutowaza kitaasisi, na kuwaza kama klabu ndogo ya soka kama KMC. Ligi zinaendelea haiwezekani kujitaja bingwa.

Ova
 
Hivi nilitegemea nini lakini? Hata iweje usingeweza kusema tofauti na haya.
Anyways, hii positivity ni nzuri 👏🏽
 
walichiofanya viongozi wa Simba ni utapeli na wizi, kama waliwaambia watu wachange pesa kwa ajili ya uwanja nani aliwaruhusu wabadilishe matumizi na kujenga uzio na kuimarisha kambi. Kama walivyouza basi la klabu ndivyo walivyogawana pesa na bahati mbaya wanachama wengi wa Simba hawana uchungu na timu wanashindwa kuhoji wanabaki kupiga makofi.
Siku yanga wakianza kuuza hisa ndio siku wanasimba watafunguka na kujua jinsi walivyokuwa wakiibiwa.
 
Back
Top Bottom