Elections 2010 kAULI YA MWENYEKITI WA TUME IFANYIWE KAZI HARAKA.

Kwan chadema hawan website ambay mawaz kam hay 2ngewafikishia direct?
 
Mzee tuwekee source ya hizo data basi!!!

Source ni website ya tume. Nenda kwenye website ya tume ya uchaguzi utakayakuta hayo maajabu ya walimwengu!!!! Au labda sasa hivi tayari wamebadirisha lakini hivyo ndivyo ilivyokuwa inasomeka mapema leo!!!.

Tiba
 
Dr. Slaa kama wasikii itisha maandamano nchi nzima ya kupinga matokeo tayari tunasubiri kauli yako. Tunataka tuwavue nguo wezi hawa
 

Ni sawa. Lakini ILI KUWAZUIA NEC kuendelea na dhuluma hii, na mwisho wake kumtangaza Kikwete, ni bora CHADEMA ikawasilisha HARAKA hata matokeo kutoka majimbo mawili tu...just to throw a spanner into Usalama wa CCM's work..

Wakati tawi la CCM (NEC) wanajifanya kupitia hayo malalamiko na ushahidi, CHADEMA itakuwa inatumia muda huo huo kuandaa kitu kamili
 
CHADEMA inabidi haya mabmo yote yafanyike kwa makini ili kuepusha lawama na mauaji ,,,nina uhakika nguvu ya umma ni kubwa
 
Jamani kesi zikifunguliwa mimi ntachangia hata kama ntakunywa maji ya visima tunayonyweshwa na serikali ya CCM mitaa ya Ubungo kule nipo tayari ilimradi kuona haki inatendeka
 
Angalia matokeo ya urais nec.go.tz ...matokeo ya urais kwenye majimbo hayo mawili ni sawa
 


Tujaribu kuwa wakini kidogo maana hii hasira tuliyonayo dhidi ya NEC na ma-bwana zao wa CCM isijeikatutokea puani. Kwa ufahamu wangu wa wastani, nafahamu kwamba Geita ni wilaya mkoani Mwanza na ina majimbo mawili nayo ni Nyang'wale na Busanda. Kwa hiyo yawezekana hilo jimbo la Nyang'wale pia linajulikana as Geita, hilo sijui vizuri.
 
Hivi bahati mbaya Judge Makame siku ya siku akaamua kuwa chizi akamtangaza Mhe Dovutwa kama mshindi wa kiti cha uraisi itakuaje?:smile-big:
 
hahahahhahahahahaaaaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee baaaaalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa WAKWIASHA SILAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAA
 
Bila ya Chadema kukabidhi takwimu zao leo watajiweka katika khali mbaya ya kutoaminika...........maana swali litakuwa kwa nin walisubiri mgombea Jk ametawazwa na wao waje kulalamika.....kama hata kama si takwimu zote zipo tayari basi zile zilizo tayari waziwakilishe na maombi ya lini ambazo hazipo tayari zitakuwa zimekamilika.................................
 
 
Naomba nikukosoe kusema elimu ya watz, nafikiri ungebadili ukasema mapungufu ya professionalism amongst CCM leadership
 
Bravo! watu wanasubiri takwimu hizi kutoka CHADEMA vinginevyo watu pengine watatoka na sababu kuwa viongozi hawa hawakuwa na jipya ispokuwa kutapata...na pengine watu watajua pa kuanzia... GOOD IDEA!
 
Takwimu zipo zinafanyiwa kazi...! Japo NEC wanataka kuwahi kutangaza mshindi ili kuwa block Chadema..!!!Hii kazi inafanyika kimakini zaidi na si kama wengi wetu tunavyo elewa...Wanao tishia kuvunjika kwa Amani nchini kutokana na kuyapinga matokeo ni watu wabaya na wenye nia mbaya ndani ya Demokrasia, Hakuna mwenye kupenda kuvunja Amani ya nchi na hakuna mwenye kupenda kunyimwa haki yake..SULUHISHO SAHIHI NI KUKUBALIANA NA KURUDIA UCHAGUZI WA RAIS KWA AMANI... HILI LINAWEZEKANA NA HALIWEZI KUTUFANYA TUKAIVUNJA AMANI YA NCHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…