Kauli ya Nape kuhusu ushindi katika uchaguzi ni kauli ya serikali nzima

Waziri akiongea kilabuni kwa Semtema ni kauli ya Serikali?

Acheni hizo [emoji209]

Kilabuni au baa siyo mahali rasmi kwa shughuli za kisiasa au za kiserikali.

Nape na hata Rais Samia, zile kauli zao za kuonesha upigaji kura hauna maana, walioongea kwenye hadhara rasmi ya shughuli za kisiasa. Waliongea kwenye mikutano rasmi, siyo kilabuni au kwenye baa.
 
Ogopa kundi la mashoga na wasagaji wakipewa madaraka
 
Kitaeleweka.

Hivi ni nani anakumbuka kifo cha Marehemu Reginald Mengi, aliyekuwa CEO wa IPP Group?

Political and Socialite Insider

Kifo cha aliyekuwa Waziri wa Sheria Marehemu Mahiga?

Political, International affairs and Intelligence Insider

Kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu
kiongozi. Marehemu Kijaji?

Intelligence, International affairs and political Insider-Right hand man

Wapo wengine.

What did they have in Common?

• • • •

Kitaeleweka.
 
 
Sio nape tu...
Hata yule uvccm wa kagera kwamba wakipotea msiwatafute.

CCM ni nyumba ya waovu. Wanatawala kwa hadaa, kujionesha ni watu wema kwa wajinga, lakini ndani ya mioyo yao wamejaa uchafu na uovu mkubwa, na wakati wote wanapanga uovu dhidi ya umma badala ya ustawi wa wananchi.
 
NAPE HAJAKURUPUKA NAPE KASEMA UKWELI NA NDIO MAANA MAKALLA KAMKOSOA KWANI KATOA SIRI Yao
 
Hata marais wamewahi kutoa kauli kama hizi. Nape hatanii, anawaambia watu ukweli. Mbaya zaidi hata wale wanaoambiwa ukweli wanamsakama!!
 
Kauli ya Nape si kauli ya Serikali
Ndiyo... Siyo ya serikali...
Lakini ni kauli inaubiriwa sana na wenye Chama chao.
Nape nadhani alikuwa amelewa (sifa za walevi ni ukweli). Na alijua anaongea na wanachama wenzake.
 
Hata marais wamewahi kutoa kauli kama hizi. Nape hatanii, anawaambia watu ukweli. Mbaya zaidi hata wale wanaoambiwa ukweli wanamsakama!!
Leo SSH naye kasema ukweli wake kuhusu mauaji yanayoendelea.
Kwa mujibu wa SSH...wanasiasa wanahusika!
 
Leo SSH naye kasema ukweli wake kuhusu mauaji yanayoendelea.
Kwa mujibu wa SSH...wanasiasa wanahusika!

CCM kwa sasa kimekuwa chama cha kishirikina, ndiyo maana nyakati hizi za kuelekea uchaguzi unakuwa muda wa mavuno kwa wachawi, wanaodai wana uwezo wa kuwapa vyeo. Hiki ni kipindi ambacho kama una mwanafamilia albino, msaidie sana kumpa ulinzi na kumtengenezea tahadhari zote, akipita tu kwenye anga za washirikina wa CCM, ujue umempoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…