Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Tundu Lissu bado anawaamini wajomba wa nje kwa kuwapelekea malalamiko yake. Rais Trump ni chaguo la Mungu pale anapotufundisha kuwa ili kupambana na ukoloni mamboleo basi uwe na MISULI yako binafsi.
Rais Trump amemwambia bayana Zelensky kuwa hatashinda vita vyake na Urusi....na amemsisitizia kuwa kama hatokubaliana na "mineral deal" basi yeye Trump atakaa pembeni ha ha ha ha tukija huku nyumbani hivi kweli Tundu Lissu sio" Chief Mangungo" wa Msovero? mekuwa akituchongea kwa marafiki zetu wa kimataifa je "in return" yeye ANAPATA nini kwao, na ameahidiwa nini?
Hayati JPM aliukataa UKIBARAKA na makubaliano yasiyo na heshima kwa kutotaka/na kuikimbia FEDHEHA hii aliyopata Rais Zelensky HADHARANI.
Nimejifunza kuwa siasa za vyama visivyo na dola barani afrika kutegemea wajomba wa nje (EU ,US et al) na kama "leverage" ya kutisha vyama tawala inakwenda kujifia na kufutika kabisa usoni pa dunia ,na mh.Rais Trump atakumbukwa na dunia kuwa CHAMPION wa kutengeneza KIFO hicho kilichofumbiwa macho miaka nenda rudi na akina Rais Obama na Rais Joe Biden.
Back in business ,uchaguzi utakuwepo na kura zitapigwa kwa sheria hizihizi tulizonazo kwani zipo kulinda MASLAHI mapana ya DOLA la JMT na si maslahi machache ya wanasiasa na vyama vyao vyovyote vile.
JMT kwanza kabla ya vyama!
Nje hatuna wajomba wa kutupangia TUSICHOKITAKA. Mwenyezi Mungu umlinde na kumhifadhi mh.Rais Samia Suluhu Hassan ,aaaaamin!