kuuona na kuusema ujinga hakukufanyi kutokuwa sehemu yake.Anakuwaje mjinga anayeona ujinga?
Mtu akisema watu 5% wanaishi na VVU, utahitaji kujua kama naye yumo au kasalimika ndipo uamini kauli yake?kuuona na kuusema ujinga hakukufanyi kutokuwa sehemu yake.
Mtu akisema watu 5% wanaishi na VVU, utahitaji kujua kama naye yumo au kasalimika ndipo uamini kauli yake?
Anyways, hebu niambie, nani mjinga kati ya mtu anayegundua uwepo wa ujinga kwa 60% na kuupasha umma na yule asiyejua kama ujinga upo?
Nyerere aliposema dhamira ya serikali ni pamoja na kufuta ujinga kuna haja ya kutaka kujua kama naye alikuwa mjinga au la? Tumia akili dogo usiwe mjinga!
hata hivyo imemtokea puaniUkute Raisi mwenyewe karidhia huu ujinga.
Pole sana Mkuu.Hasara kuna kibanda changu umiza tegeta leo watu wamemfanyia fujo mfanyakazi wangu maana alianza kutoza pesa SAA 9 halafu mechi ilivyoarishwa wakamtoa nje wakachukua pesa zote vijana na wengine wamekosa.
Napigiwa simu nipo Dodoma maamzi ya yatu wanashindwa kuelewa wanavyo waumiza watu wengine.
Haina haja ya homework wala utafiti kwa jambo lililo dhahiri. Sema tu kwamba wewe ni mjinga kwavile "hujui" kama ujingo upo na kwamba si Prof. Assad tu bali hata Mwl. Nyerere alikuwa sahihi kwamba Tanzania kuna ujinga!namimi nakupa homework,katafiti mtu wa kwanza kutunuku wahitimu wa degree yeye alipewa na nani???
anayetoa takwimu za VVU anatoa takwimu za idadi ya watu waliopimwa tu na si kingine.
sasa wajinga wanapimwa na nani??mtu wa kwanza kumjua huyu ni mjinga yeye alipitishwa kuwa mwerevu na nani??na hizo 60% sample imajumuisha nani na kuacha nani??yeye yuko kwenye sample ipi kwa vigezo vipi??
siwezi amuru nawewe uache ujinga maana sijajua kama upo kwenye hiyo 60% ya watumishi wa serikali,au 80% ya wananchi wa kawaida,au 90% ya vichaa milembe,au 78% ya wahitimu wa chuo kikuu nk.
Kwa hapo Anyway ndio sawa/sahihiAnyways
Aisee, hi kitu imekuwa na multiple effect sanaHasara kuna kibanda changu umiza tegeta leo watu wamemfanyia fujo mfanyakazi wangu maana alianza kutoza pesa SAA 9 halafu mechi ilivyoarishwa wakamtoa nje wakachukua pesa zote vijana na wengine wamekosa.
Napigiwa simu nipo Dodoma maamzi ya yatu wanashindwa kuelewa wanavyo waumiza watu wengine.
Kwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga.
Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe ni shabiki wa Yanga si mngempeleka tu uwanjani akazindua kitabu chake pale uwanjani.
Tena ulimwengu ungeona na watanzania wengi wangeona kila kitu ambacho kingefanyika..
Ila huu utoto uliofanyika kiukweli ni Aibu ya karne.
Hakika nawapongeza yanga kwa kutuonyesha utakiwi kufanya tu maamuzi unavyojisikia.
Na kama ningekuwa Rais wa nchi leo ningewafukuza kazi watu wote wanaofanya kazi wizara ya Michezo.
Hasara kiasi gani kwa watu waliokuwa wameenda uwanjani?
Waliosafiri je kutoka mbali?
Vibanda umiza je?
Billions of money!!!
Haina haja ya homework wala utafiti kwa jambo lililo dhahiri. Sema tu kwamba wewe ni mjinga kwavile "hujui" kama ujingo upo na kwamba si Prof. Assad tu bali hata Mwl. Nyerere alikuwa sahihi kwamba Tanzania kuna ujinga!
Mtoa mada ametumia tukio la leo kama kithibitisho cha kauli ya Prof. kwamba wayendaji wengi ni wajinga na bado unaleta ujinga na hujiunzi..!!
Narudia kusema wewe ni mjinga kwani kwavile hujui Tanzania kuna ujinga bali ni ujinga kuhisi Prof. alikuwa mjinga kusema Tanzania kuna ujinga.
si tulikuwabaliana kwamba mwendazake amekwenda sasa nchi imerejea kwenye standard zake!!!Ni ukweli MTUPU na ndiyo sababu nchi yetu haina maendeleo yoyote ya kujivunia. Angalia sakata la COVID-19 pale Bungeni. Katiba inasema wazi kwamba wale hawastahili kuwa Bungeni lakini tangu November huu ni mwezi wa sita sasa wanaendelea kuvuta pesa ndefu ya walipa kodi ambayo hawastahili utadhani walio ndani ya Serikali hawaijui katiba kuhusiana na issue hii.
40% ya Assad. Bali nilitambua uwepo wa ujinga wa watendaji kabla ya kauli ya Assad.ujingo=ujinga
wayendani=watendaji
hujiunzi=hujifunzi
kwa hayo machache wewe uko kundi lipi!!60% ya assad au ~% ya jk nyerere??
assad anasema 60% ya watumishi ni wajinga.40
40% ya Assad. Bali nilitambua uwepo wa ujinga wa watendaji kabla ya kauli ya Assad.
Kwa hesabu za implication na yeye anakuwa sawa na hao walioyafanya hayoUkute Raisi mwenyewe karidhia huu ujinga.
Kama hujui niko kundi gani wakati nimesema 40%, huo ndo ujinga wenyewe!assad anasema 60% ya watumishi ni wajinga.
neno mjinga kwa tafsiri rasmi,ni mtu siyejua jambo fulani,anakuwa mjinga kwalo.wewe kuandika kwa kutumia simu sawa sawa hujui.tunakuita mjinga kwa hilo.
hapo sijajua uko kwenye kundi lipi.
rejea tafsiri ya neno "MJINGA"usitie huruma.Kama hujui niko kundi gani wakati nimesema 40%, huo ndo ujinga wenyewe!
Kama kufanya makosa ya uchapaji ndo ujinga basi wewe ni mjinga zaidi kwani hakuna neno "siyejua" bali "asiyejua".
Turudi kwenye hoja kama wewe si mjinga!
Hapa umefika na ngoja nikufundishe!rejea tafsiri ya neno "MJINGA"usitie huruma.
kufanya kosa ndio ujinga wenyewe,unadhani anayejua kuchapa anakosea!!!
umeamua kujiingiza kwenye kundi la 40% za assadi eh???embu tueleze,alitumia vigezo gani kuwapima??maana wewe ni mjinga kwenye uandishi wa kutumia simu.
Hapa umefika na ngoja nikufundishe!
Ni hivi bwana mdogo, mtu anapotoa kauli kwa takwimu hawezi kuwa mjinga kwasababu kupata takwim kunahitaji ujuzi.
Mjinga ni yule anayedhani ni ujinga kutoa kauli kwa takwimu eti kwavile tu huyo mtoa kauli hajabainisha yupo kundi gani kwa mujibu wa hizo takwimu.
Katika nyanja ya utafiti watu hawaulizi kama matokeo/takwimu za utafiti zinabainisha kundi la mtafiti kwenye jamii anayoitafiti. Wewe utakuwa mtu wa kwanza kudhani kwamba mtafiti ni sehemu ya "sample".
Bali wanaoelewa huwa hawabishi wala hawapuuzi takwimu za mwenzao hadi wafanye kwanza utafiti na kupata takwimu zinazokinzana na zile zilizotolewa.
Kwa akili yako Assad ni "member" wa "study population" hata utake kujua kama na yeye ni mjinga au la? Labda tuanziee hapa kama wewe si mjinga.
Shida yako wewe nini hasa? Mimi kushindwa kutumia simu au uhalali wa kauli ya Assad?sijui kwanini unamiini kwamba kumwita mtu mjinga ni kumshambulia!!!naona imekuwa silaha kwako kila unapoandika mwisho lazima uweke kibwagizo hicho,ndio maana unashangaa na wala huamini kwamba assad anawesa kuwa miongoni mwa takwimu alizotoa.wacha kukariri,ungemwelewa ungejua alimaanisha,watu wasio na ujuzi sawa sawa na kazi wanazofanya,incompetence na sio fool,hii unazungumzia hapa.
assad alikuwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali,sijui nani kakwambia naona ni ujinga assad kutoa takwimu hizo!!!labda alitumia neno sehemu isiyotakiwa au yeye na wewe hamjui maana ya neno"MJINGA".si ajabu yule ni daktari mbobezi wa fani tofauti kabisa na hii ya lugha.
neno mjinga huwezi kuliweka katika group la watu,mbaya zaidi ukawapa na % yao kabisa,ndio maana tokea mwanzo nakutaka unieleze ametumia njia ipi kujua kuna wajinga 60%,wenye akili 40%,na hao wajinga ni pamoja na wewe usiye na ujuzi wa kutumia simu kuandika!!!!
unakataa kwamba uko 40%,nakuuliza uliingiaje huko,huna uhakika ama hujui uliingiaje.bali unakubaliana naye tu uko kwenye hawa 40%.
nadhani umenielewa sasa.
uhalali wa kauli ya asadi,na wewe kwenda nayo bila kujua maana yake inakubeba mpaka wewe.Shida yako wewe nini hasa? Mimi kushindwa kutumia simu au uhalali wa kauli ya Assad?