Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.uhalali wa kauli ya asadi,na wewe kwenda nayo bila kujua maana yake inakubeba mpaka wewe.
Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.
Nimekuuliza kama mtafiti ni sehemu ya "sample" au "study population" hutaki kujibu matokeo yake umeng'ang'ania mimi sijui kutumia simu kisa nimekosea herufi katika kuandika.
Sasa niambie ulivyoandika "unamiini" nitakosea nikisema wewe ni mjinga wa kutumia simu?
Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.uhalali wa kauli ya asadi,na wewe kwenda nayo bila kujua maana yake inakubeba mpaka wewe.
Naona somo limekuingia na sasa unaona ujinga wako unaisha. Tatizo lenu vijana mnapenda kutukana watu wanaotofautiana na mitazamo yenu bila kujali wanachokisema ni sahihi.uarudia tena kuonyesha udhaifu ule ule.
nakuelekeza sasa,ujinga haupimwi,ni ukosefu wa ujuzi.ni sawa na kueleza chumba hiki kina giza jingi asilimia 80%.
una ubongo mzito sana,maana ya mimi kumweka assad kwenye sample ni ili wewe uelewe,maana ya neno ujinga kama lilivyo,lakini holaa.
mimi wewe kuniita mjinga wala sioni tatizo ila uonyeshe ujinga wangu kama mimi nilivyofanya kwako.ndio maana nikawa nakushangaa umejipachikaje kwenye 40% ya assad wakati kuna field wewe ni mweupe kabisa???na utaitwa mjinga kabisa maana hakuna unachojua!!!uandishi ilikuwa mfano mdogo tu.
sasa proff anakosa uhalali wa kuita watu wajinga sababu hata yeye ni mjinga sehemu fulani,umeelewa sasa anapoingia kwenye sample!!!!
haya kunywa maji upumzike sasa.
post no 42 ina mjibu ya hizi nukuu zako za kurudia mara mbili mbili.Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.
Nimekuuliza kama mtafiti ni sehemu ya "sample" au "study population" hutaki kujibu matokeo yake umeng'ang'ania mimi sijui kutumia simu kisa nimekosea heruki katika kuandika.
Sasa niambie ulivyoandika "unamiini" nitakosea niksema wewe ni mjinga wa kutumia simu simu?
Naona somo limekuingia na sasa unaona ujinga wako unaisha. Tatizo lenu vijana mnapenda kutukana watu wanaotofautiana na mitazamo yenu bila kujali wanachokisema ni sahihi.
Sasa nataka useme je inafaa kutumia makosa yako ya kuandika "unamiini" kuonesha mfano wa ujinga wako wa matumizi ya simu kama mimi nilivyokosea?
Jiwe ndio mtu wa hovyo kabisa kuwahi Kutokea katika Nchi hii.Ujinga ni ule ule na wajinga Ni wale wale..
"Watanzani Ipo siku mtanikumbuka" Jiwe.
Alafu uniambie eti serikali itafanikiwa Kwenye biashara ya ndege ndipo hapo siwezi kuamini
Tumefika tamati maana umeishiwa hoja. Kiufupi ni kwamba umekosa majibu ya hoja/maswali ya msingi yanayoonesha ujinga wako.post no 42 ina mjibu ya hizi nukuu zako za kurudia mara mbili mbili.
kama una tatizo la kuelewa,nitakusaidia.
Wewe ulie na chuki Binafsi ndo mjinga! Pole Sana kwa stress za Maisha.Jiwe ndio mtu wa hovyo kabisa kuwahi Kutokea katika Nchi hii.
Huyu ndio chimbuko la uozo na uharibifu wote Nchi hii.
Huyu ndio mharibifu mkubwa wa sheria na kanuni na heshima ya Nchi hii.
Actually huyu bwana jiwe anastahili kushitakiwa hata kama kafa ili sheria ionekane kuchukua Mkondo wake.
Nakutajia mambo aliyoharibu jiwe na atakumbukwa kwa uovu huo.
Kuharibu uchaguzi wa marudio,uchaguzi wa serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu.
Kuwaingiza Bungeni kijinga kabisa Covid-19
Kuiba kura zote uchaguzi mkuu mpaka kusahau kuwa uwepo wa wapinzani Bungeni huipatia Nchi fedha.
Tumkumbuke kwa lipi Sasa mtu mjinga namna hiyo?
Naamini kuwa kwa bunge ni asilimia 98 ya wabunge woye hawastahili kuwa wabungeKwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga.
Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe ni shabiki wa Yanga si mngempeleka tu uwanjani akazindua kitabu chake pale uwanjani.
Tena ulimwengu ungeona na watanzania wengi wangeona kila kitu ambacho kingefanyika..
Ila huu utoto uliofanyika kiukweli ni Aibu ya karne.
Hakika nawapongeza yanga kwa kutuonyesha utakiwi kufanya tu maamuzi unavyojisikia.
Na kama ningekuwa Rais wa nchi leo ningewafukuza kazi watu wote wanaofanya kazi wizara ya Michezo.
Hasara kiasi gani kwa watu waliokuwa wameenda uwanjani?
Waliosafiri je kutoka mbali?
Vibanda umiza je?
Billions of money!!!
View attachment 1777875
hujui hata nini unajadili.Tumefika tamati maana umeishiwa hoja. Kiufupi ni kwamba umekosa majibu ya hoja/maswali ya msingi yanayoonesha ujinga wako.
1. Mtafiti (Assad) ni sehemu ya study population/sample?
2. Kukosea herufi katika kuandika ni ujinga au ni mfano wa ujinga?
Usiku mwema ila usirudie tena kukosoa kama huna hoja au elimu juu ya mada husika.
Mkuu kwa tafrisi yako ya neno "MJINGA" ni kwa mfano "mtu kutokujua kuandika simu sawa sawa basi huyu ni mjinga kwa hilo" kwa tafrisi ya Kingereza tunawezasema "layman"?. Sasa hawa layman 60% wametufikishaje hapo wakati tuna shule za kutosha na tena elimu BURE!! maana kwa shule tulizonazo, walimu kibao mpaka wengine wanazagaa mitaani, na nchi yetu ni tajiri bado tu tuna asilimia kubwa hivyo, maana mjinga ukimuelimisha anaelimika. Mimi siamini kwamba hao ni wajinga bali WAPUMBAVU ambao hata ukiwaelimisha hawaelimiki asilani abadani.assad anasema 60% ya watumishi ni wajinga.
neno mjinga kwa tafsiri rasmi,ni mtu siyejua jambo fulani,anakuwa mjinga kwalo.wewe kuandika kwa kutumia simu sawa sawa hujui.tunakuita mjinga kwa hilo.
hapo sijajua uko kwenye kundi lipi.
Mkuu habari,vipi tuchel unamzungumziaje sasahata hivyo imemtokea puani
Siamini kama Mama anaweza kufanya maamuzi ya kijinga kama haya.Ukute Raisi mwenyewe karidhia huu ujinga.
Kwa jiwe mechi isingeahirishwa. Kama ingetokea basi kuna kichwa kjngekuwa kimeliwa leo hiiKwamba jiwe angekuwepo match ingechezwa saa saba au?
Tatizo mnamkuza sana mtu haya ni makosa ya kawaida yeyote anaweza kufanya muwe mnaelewa.
ndio maana nikawa namwambia huyo juu hapo,neno MJINGA kwa mujibu wa assad,limewekwa eneo lisilo sahihi.kama alimaanisha hivyo,basi yeye huyu naye ni mjinga kwa kutojua kuandika tu,na proff pia naye ni sehem ya sample hiyo 60%.Mkuu kwa tafrisi yako ya neno "MJINGA" ni kwa mfano "mtu kutokujua kuandika simu sawa sawa basi huyu ni mjinga kwa hilo" kwa tafrisi ya Kingereza tunawezasema "layman"?. Sasa hawa layman 60% wametufikishaje hapo wakati tuna shule za kutosha na tena elimu BURE!! maana kwa shule tulizonazo, walimu kibao mpaka wengine wanazagaa mitaani, na nchi yetu ni tajiri bado tu tuna asilimia kubwa hivyo, maana mjinga ukimuelimisha anaelimika. Mimi siamini kwamba hao ni wajinga bali WAPUMBAVU ambao hata ukiwaelimisha hawaelimiki asilani abadani.
sio usikute,taarifa za uhakika Samia kaagiza huo ujingaUkute Raisi mwenyewe karidhia huu ujinga.
Tz inahitaji overhaul,imejaa watu wa hovyo kuanzia juu mpaka chiniAlafu uniambie eti serikali itafanikiwa Kwenye biashara ya ndege ndipo hapo siwezi kuamini