Kauli ya rais

Kauli ya rais

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,930
Reaction score
2,565
Salaaamm..!
...naomba kufahamishwa kwa mujibu wa sheria za tanzania,katiba inasema nini endapo rais atatoa kauli au matamshi yoyote yatakayothibitika si ya kweli..??? kwa mfano kauli ya uwongo au upotoshaji,au yenye kuashiria kulinda maslahi binafsi...
muongozo tafadhali...
 
Unaulizia nchi gani???? kama ni Tanzania sidhani kama kuna la kufanya.
 
Unaulizia nchi gani???? kama ni Tanzania sidhani kama kuna la kufanya.
...nimetaja tanzania mkuu,kama hivyo basi balaa,yaani katiba ipo kimyaa juu ya hili..??
 
Umesahau kuwa rais ana sheria zinazomkinga? Au sheria ya kinga ya rais?
 
Back
Top Bottom