Aiseeee hahhhha hizo pichaa za Mbuta nomaaa aisee sijui hajarusha mpyaaa mu nichekeeee
Halaf kwenye blog yake anavyoponda wenziee utafikiti ye kakamilikaaa hahhhha

Mbona anafanana na yule mchaga anayevaaga machupi na maviatu kama hayo?sijui anaitwaga nani anaishi nje ya nchi.
hivi snura aliiona form four kweli?
Div 5 huyo.