Kauli za kibaguzi za Lukuvi dhidi ya Zanzibar ndio ziliyofanya aondolewe uwaziri,

Kauli za kibaguzi za Lukuvi dhidi ya Zanzibar ndio ziliyofanya aondolewe uwaziri,

Kuna kauli tata sana alitowahi kuzitoa kuhusu zanzibar.

ilionyesha ubaguzi wa wazi wazi.

Hakika kavuna alichopanda.
Jombiii usichokijua ni kuwa lukuvi ameondolewa makusudi ili apelekwe akahudumu pale alipoondolewa ngugai.subiri ndo utajua hujui.
 
Sasa kama hiyo kawaida kama unaijua ndo vizuri ungejibu swali. Je,asipokuwa Spika tusikuamini hapa jamvini tena?
Huo utakuwa ni utashi wako mkuu
 
Back
Top Bottom