A abulaaliyah77 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,750 Reaction score 1,158 Jan 8, 2022 #21 Huyu ana chuki sana na uislamu sky soldier said: Kuna kauli tata sana alitowahi kuzitoa kuhusu zanzibar. ilionyesha ubaguzi wa wazi wazi. Hakika kavuna alichopanda. Click to expand...
Huyu ana chuki sana na uislamu sky soldier said: Kuna kauli tata sana alitowahi kuzitoa kuhusu zanzibar. ilionyesha ubaguzi wa wazi wazi. Hakika kavuna alichopanda. Click to expand...
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 Jan 8, 2022 #22 Mmawia said: Mwenzio anaadaliwa kushika uspika Click to expand... Una hoja mkuu...tujipe mda maana ni kama nvindio ni kama ndrama!!
Mmawia said: Mwenzio anaadaliwa kushika uspika Click to expand... Una hoja mkuu...tujipe mda maana ni kama nvindio ni kama ndrama!!
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jan 8, 2022 #23 mdudu said: Usipika wa nyumbani kwenye? Click to expand... Bado hujasomeka mkuu ebu pitia post yako
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jan 8, 2022 #24 Kaka pembe said: Una hoja mkuu...tujipe mda maana ni kama nvindio ni kama ndrama!! Click to expand... Jambo la msingi sana mkuu
Kaka pembe said: Una hoja mkuu...tujipe mda maana ni kama nvindio ni kama ndrama!! Click to expand... Jambo la msingi sana mkuu
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,151 Reaction score 6,261 Jan 8, 2022 #25 Lukuvi sio wakuweka nje ya Mfumo mana jamaa ni Asset
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Jan 8, 2022 #26 Roadmap said: Lukuvi sio wakuweka nje ya Mfumo mana jamaa ni Asset Click to expand... Primary school teachers ndiyo assets wa Tanzania.... Kazi kweli kweli.
Roadmap said: Lukuvi sio wakuweka nje ya Mfumo mana jamaa ni Asset Click to expand... Primary school teachers ndiyo assets wa Tanzania.... Kazi kweli kweli.
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Jan 8, 2022 #27 sky soldier said: Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam". Click to expand... Picha ya Nyerere ametengeneza mwenyewe kwa milioni 270? Amandla...
sky soldier said: Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam". Click to expand... Picha ya Nyerere ametengeneza mwenyewe kwa milioni 270? Amandla...