Kwani kuna haja gani awesome kutuonyesha wake zake bungeni au yeye ndie wa kwanza kuoa wake wawili πBunge halina hata mtu mmoja wa kuwa challenge wanajitekenya wenyewe wanacheka kwa upande wangu sinaga mzuka kabisaaa tokea enzi 2020 sitaki kabisa kuwasikiliza
Vya maana sana hakuna mle, imagine spika anatambulisha wake wa aweso kwa Ruto! Huo ujinga anaweza kuufanya spika wa bunge la Kenia kweli?Kwani kuna haja gani awesome kutuonyesha wake zake bungeni au yeye ndie wa kwanza kuoa wake wawili π