magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Feb 15, 2019 #21 muhomakilo jr said: ..Mechi ya kwanza alisema Yanga walikuwa wageni,walienda kutafuta point moja tu,kesho Yanga ni wenyeji tuone wakitafuta ushindi....Simba 5,Yanga o. Click to expand... Mikia huwa mnajiamini sana halafu mambo yakienda tofauti mnaanza kufanya uharibifu uwanjani.
muhomakilo jr said: ..Mechi ya kwanza alisema Yanga walikuwa wageni,walienda kutafuta point moja tu,kesho Yanga ni wenyeji tuone wakitafuta ushindi....Simba 5,Yanga o. Click to expand... Mikia huwa mnajiamini sana halafu mambo yakienda tofauti mnaanza kufanya uharibifu uwanjani.
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Feb 16, 2019 #22 Mimi nadhani kama ni kweli wana ushahidi wapeleke malalamiko yao kwa barua TFF si kulalamika kwenye media tu Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani kama ni kweli wana ushahidi wapeleke malalamiko yao kwa barua TFF si kulalamika kwenye media tu Sent using Jamii Forums mobile app
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 Feb 16, 2019 #23 stroke said: Kwahiyo nayo Simba itahongwa ili iwakamie?? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]watapewa million kumi Sent using Jamii Forums mobile app
stroke said: Kwahiyo nayo Simba itahongwa ili iwakamie?? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]watapewa million kumi Sent using Jamii Forums mobile app