bana eeeh is a cursekuzaliwa linchi kama tanzania ..kila kitu ovyo tu.kama walisema hivyo wako right.hatuwzi kujivunia nchi lililooza kama Tanzania
Hahaha! Binamu umenikumbusha jamaa yangu aliwahi kusema: Ni heri kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadamu Afrika. Lol!
Na wewe ukasemaje?.
Nikamuuliza kama anamfahamu Mambo Jambo akasema hamfahamu. Kwangu mimi ni heri nizaliwe mbwa Afrika kuliko kuzaliwa kunguni ulaya. Hahahaha!
@mziwanda, tupo wengi sana mziwanda tunaosikitika na hii kauli, naomba nikurekebishe kauli hii aliitoa salama mara zote, siku ya fainali alituma msg kwa msisitizo lakini labda nikukumbushe kitu kimoja. JF is the room for great thinkers and salama is not even one tenth, she z kilaza totaly and completely so just ignore her. okay? if that kinda of statement could have come from someone like dk slaa or zitto we could waste our time to discuss this.
Ingekuwa Mza au Dar angesema "born in the wrong part of TZ" na ukiangalia the flow ya walichokuwa wanaimba hao vijana ni moja kwa moja Tanzania na Africa are the wrong parts of the world. Tukubali udhaifu.Aaaah umejuaje bwana labda alikuwa anaanisha MWANZA badala ya DAR ES SALAAM ambazo zote ziko TANZANIA na AFRIKA.
Umeenda mbali sana kaka.
MJ
@mziwanda, tupo wengi sana mziwanda tunaosikitika na hii kauli, naomba nikurekebishe kauli hii aliitoa salama mara zote, siku ya fainali alituma msg kwa msisitizo lakini labda nikukumbushe kitu kimoja. JF is the room for great thinkers and salama is not even one tenth, she z kilaza totaly and completely so just ignore her. okay? if that kinda of statement could have come from someone like dk slaa or zitto we could waste our time to discuss this.
Ingekuwa Mza au Dar angesema "born in the wrong part of TZ" na ukiangalia the flow ya walichokuwa wanaimba hao vijana ni moja kwa moja Tanzania na Africa are the wrong parts of the world. Tukubali udhaifu.
bana eeeh is a cursekuzaliwa linchi kama tanzania ..kila kitu ovyo tu.kama walisema hivyo wako right.hatuwzi kujivunia nchi lililooza kama Tanzania
Kuna kauli za baadhi ya watu maarufu hapa nchini zinaleta kizunguzungu cha mawazo. Najua zitakuwa nyingi ukichanganya na za wale wasio maarufu. Kauli kama 'u were born on the wrong part of the world' ambazo zinamaanisha hiyo wrong part ni bongo. Kauli hii imetolewa na madam Rita wakati flani pamoja na salama jana kwenye BSS. Hivi wazungu wanaposikia kauli kama hizi wanatuchukuliaje. Kauli kama hizi ndio zimemnyima mbati na ntepa ushindi. Kama kazaliwa kuzimu ambako si kwake si aondoke? Angeenda kushiriki pop idol USA! Tusijidharau kiasi hiki. Nini kinaifanya tz au afrika kuwa wrong part of the world? Si ajabu hata hawa watalii tunaowaona kwa wingi wao huwa wanavutiwa na kauli kama hizo kuja kuona. Wrong part. Tubadilike
Mi naona bomba tu- sioni shida na kauli hiyo.
Anayetakiwa kujilaumu ni wewe kama mpiga kura na wengineo wote walioattempt kupiga kura zile!
Yule kijana Mbate ni kweli hakustahili kuzaliwa hapa, maana nyie mlio wake wala hamjamsupport kwenye kura, hii ikionyesha kwamba he is an alien!
Wanaoelewa lugha ya Kiingereza ndo waliompa kura zile chache, and that is where he belong, na sio huku Bongo ambako kutokana na kutojua lugha aliyokuwa anaimba basi mmemwangusha! Lol!
Kwani Tanzania tunaruhusiwa kutembea na bendera ya Taifa kwa mtu wa kawaida? chadema waliitumia bendera ya Taifa walipigiwa makelele kweli sijui sakata hilo lilifikia wapiina bendera ya tanzania na nyingine inaninginia nje ya gari.......
Kwani Tanzania tunaruhusiwa kutembea na bendera ya Taifa kwa mtu wa kawaida? chadema waliitumia bendera ya Taifa walipigiwa makelele kweli sijui sakata hilo lilifikia wapi