Kauli za Mjomba Wangu

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu.

1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu anakula siku zote.

2. Mwanadamu damu, mwanadamu sio mbuzi. Huwezi kumuongoza mwanadamu unavyotaka lazima atatenda usivyotala.

3. Usioe mwanamke unaempenda,
Akimaanisha kuoa mwanamke unaempenda utateseka.

5. Ukipata shida usijinyonge,(Ukauva unalipambilile).
Akimaanisha usijinyonge shida zitakwisha.

6. Mjomba kwani ujomba umeisha. Akimaanisha mawasiliano ndo yanadumisha ujomba.

7. Aibu zipo unyayoni(Chini ya miguu). Mtu asiekua na aibu kwa lolote baya alilotenda la aibu ktk jamii.
 
Ungekaa miaka kwa mjomba wako,ungevuna Hekima Nyingi mkuu!
 
Wako ni mmakonde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…