Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

Wewe ni mpumbavu
 
Ana Ana hamu ya kuishi alipo mwenyekiti wake
 
Hizo Kauli ziko wapi?
 
Kajamaa kana ujeuri na kiburi usio na faida yoyote kwake na kwa family yake aise.

Ni vizuri polisi wakasaidie hako kajamaa useless kweli. Kanaabisha vijana wengine πŸ’
 
Wanadhani ili kuwa mwanasiasa wa upinzani lazima ukose adabu kwa watawala, lazima ufokefoke, lazima ukejeli kila kitu kilichofanywa na serikali, lazima uonyeshe ukakamavu wa kutokuogopa kitu. Hiyo sio kweli, unaweza kuongea na kuzungumza kwa staha na bado watu wakakuelewa na kukuheshimu. Unachotakiwa ni kuonyesha makosa ya CCM na serikali na kuelezea kwa ufundi ubora wa chama chake na kingefanya nini kuyaondoa makosa ya CCM kama kingekuwa madarakani. Mimi nikikutana na mpinzani anaeongea kwa staha kile anachokusudia kuniambia ninamuheshimu sana kuliko anaejifanya mkakamavu, haogopi, haheshimu hata waliomzidi umri na kimo.
 
Ww ni muumini wa nidhamu ya woga na unafiki, ndio maana unapokutana na mtu anayeongea bila kujipendekeza kwa viongozi wauaji na majizi unapata shida. Upo kwenye chama kinachoigiza kina staha, lakini kiuhalisia ni cha majizi, wauaji, wala rushwa na uchafu wa kila aina. Lakini kwakuwa unawatetemekea ili upate choo ndio unawaona ni wa maana sana.
 
Tukikagua kauli za kisiasa kwa haki, nusu ya wanasiasa wa mboga mboga, wataishia jela na wengine manslaughter kabisa.
 
Kuna wimbo maarufu kule ccm ni full ubaguzi na vita! Kwa akili zenu wala si tatizo!

Wapinzani tuwalete tuwachane chane tuwatupe...
ccm tuwalete tuwakumbatie tuwabusu


View: https://music.youtube.com/watch?v=2fEtpB5wFRg&si=cxNsSOWLZYAJthRt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…