Kauli za sasa za Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuhusu CORONA zimeshaanza Kuzua 'taharuki' nchini, hivyo ama adhibitiwe au ajiuzuru upesi

Una akili timamu wewe?
 
Tangia siku ya kwanza alitakiwa aseme hivyo alivyosema...siyo kuchekacheka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hangaikeni wee ila tambueni hakuna mtu anayeweza kulinda uhai wake duniani. Hakuna aliye na mamla na uhai wake..Muda ukifika utakufa kama bado huwezi kufa kamwe!
.....Bwana asipoulinda mji waulindao wanakesha
Hivi na wale suicide bombers muda wao wa kukaa duniani unakuwa ume expire?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu amekuibia password? Huu mwandiko kama siyo wako.
 
Jamani ummy mwalimu kafanya la maana sana kutoa taarifa ya Local transmission, mtu mpe ukweli wake ajipange sawa sawa sio kumtia moyo wakati hali yenyewe sio ya kawaida alafu tazama nchi kubwa kama marekani na utajiri wake wote na kutoa misaada kwa nchi zingine dunia lakini watu wake wanakufa HATARI na ana wataalamu wengi tu vifaaa vya kisasa tuseme mifumo yao ya afya iko vizuri ila ni MWENDO WA VIFO TU sie masikini africa sub saharani si tutakwisha jamani.
 
kuu namna alivyoiwasilisha kwa wengi ni kama amewatisha na imezua taharuki pia Kwao. Na hii ni kwa mtazamo wangu ambao simlazimishi Mtu mwingine akubaliane nao japo anatakiwa Kuuheshimu kama nami pia ninavyoheshimu Mitazamo yao

Namuonea huruma sana huyu mama Waziri wa afya kwani katika kulikabili hili kukumu anajaribu kuwa mkweli kwa nafsi yake at the same time anajaribu kutokumkasilisha boss wake ambae msimamo wake juu ya janga la corona ni unconventional!!! Ni dhahili kabisa kuwa hizo data anazosoma sio sahihi kwani watu wachache sana hapa nchini wamepimwa hivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa watu walioathirika na huu ugonjwa ni wengi zaidi kuliko tunavyotaka kuaminishwa!!! Ummy anaogopa kutoa takwimu sahihi kwa kuogopa kuonesha kuwa msimamo wa boss wake ndio umepelekea matatizo haya kuwa makubwa zaidi kuliko kama hatua kali zingechukuliwa mapema!!!

Kumbukeni kuwa Meko alishakorofishana na huyu mama huko nyuma kuhusu matangazo ya uzazi wa mpango hivyo she knows kuwa amekalia kuti kavu!!!!
 
Inawezekana ww ndio yule mlevi niliyekutana naye kwny mwendokasi ya kwenda Gerezani miezi kadhaa iliyopita mlevi yule alisikika akisema "Dr.Faustine Ndungulile ndiye anayetufaa",jamaa ulishuka zako fire akaelekea Muhimbili huku ukipepesuka,ukiwa unanuka gongo.

Dizaini kama kuna kikundi cha watu mnamuonea wivu mdada wa watu,hacheni wivu wa kijinga Ummy yupo makini sana na ni mchapakazi,mwacheni achape kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…