Kauli za ukweli kwa wapendanao

Kauli za ukweli kwa wapendanao

Anayeonekana mpya kwako kwa mwenzako anaonekana screpa
 
Duh kuna maneno mengne ukiambiwa na mwenza wako yanachoma sana.
 
Ungeweka /mumeo unless wanaume nyie hamstahili kupewa mapenzi peke yenu tu mkiwa waume bali hata mahawara.Nzuri lakini....SANA!

Da Lizyy na wewe...mimi ni mwanaume ndo maana nkaiweka kiivyo...hebu wewe i-feminishe basi!!!
thnx anyway.
 
karibu kaka nimependa avata na jina lako.

Oh my...wow, Romance...unajua wanaume hawaruhusiwi ku-blush, but u forcing me to!!!
Nashukuru sana dada...ur ID makes me curious (u knw wat am sayng...)!!!
 
Back
Top Bottom