Oh my...wow, Romance...unajua wanaume hawaruhusiwi ku-blush, but u forcing me to!!!
Nashukuru sana dada...ur ID makes me curious (u knw wat am sayng...)!!!
Hahaha...MAPENZI MPE MUMEO...HAWARA HANA ISHU!!Kwa hisani ya kaka yangu Mentor!Da Lizyy na wewe...mimi ni mwanaume ndo maana nkaiweka kiivyo...hebu wewe i-feminishe basi!!!thnx anyway.
sikuruhusu uwe curious zaidi ya hapo mimi ni observer jana niliona mistari ya babygal niligusia avata sababu kuna uzi umerushwa hapa mmu
Nishajikuta hivyo..mi sikuwa nimeconnect na uzi wa Tuko, but well...serikali zinapinduliwa sembuse mtu mmoja!?? ebu tiisha kiu yangu tafadhali..
Babygal sijui kaenda wapi na baba ake (Mr. DADDY)....wameweka pending marriage proposal yangu!
Ukiona cha nini? Wenzio wanauliza watakipata lini. Hilo nalo unasemaje?1. UKITAKA Kumjua Mumemwenzio, mwache MKeo!!
Been thinking about you all day!!Nishajikuta hivyo..mi sikuwa nimeconnect na uzi wa Tuko, but well...serikali zinapinduliwa sembuse mtu mmoja!?? ebu tiisha kiu yangu tafadhali..Babygal sijui kaenda wapi na baba ake (Mr. DADDY)....wameweka pending marriage proposal yangu!
We unadhani ni nani wangu!!?tena wewe endelea kujidanganya unatoa mistari hapa eti yuko na daddy.. pole nani kakwambia daddy wake yule?
We unadhani ni nani wangu!!?
Jamani sio kweli!We kwanini ufikirie hivi!?kama hujui babako anakupenda kikubwa sio kibinti.
Jamani sio kweli!We kwanini ufikirie hivi!?
Embu naomba uniambie yapi hayo usijekuta nimepitwa!nimeona maneno yake ili hata mentor atakua katambua kashindwa kujibu nilipogusia.
Embu naomba uniambie yapi hayo usijekuta nimepitwa!
Haya bwana!Ntamuuliza aniambie mwenyewe!kama hujaona jinsi ulivo kua unasemeshana nae basi poteze wewe rudi kwa mentor.
Been thinking about you all day!!
Afadhali umekuja maana Romance kanichosha na madai yake eti daddy ananipenda kikubwa!!Anyway my day wasn t that good since you my Mentor (if you dont mind me calling you that) wasnt around!Ohh me love, where have thee beeni came here early in mornlooked for u everywhere to no availi missed u, u made me wailumeshindaje sweetheart!??
Afadhali umekuja maana Romance kanichosha na madai yake eti daddy ananipenda kikubwa!!Anyway my day wasn‘ t that good since you my Mentor (if you don‘t mind me calling you that) wasn‘t around!
Ooooh....dat's so sad! u nid to do the needful!
Mi mwenyewe nimefurahi umekuja to my aid...Romance ashaanza kuni..well, tumsamehe bure!
Baba mkwe mzima lakini? Nyote mmepotea leo nikashindwa kujua what hapenned!
Niliingia asubuhi kidogo sikukuona nikatoka!!Baba mkwe yuko bize siunajua tena mkate wangu unamtegemea yeye!!So tell me whatsup wit you today?!Ooooh....dat's so sad! u nid to do the needful!Mi mwenyewe nimefurahi umekuja to my aid...Romance ashaanza kuni..well, tumsamehe bure!Baba mkwe mzima lakini? Nyote mmepotea leo nikashindwa kujua what hapenned!