The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.
Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja ni kodi zenu zimejenga hospitali nayo ni kodi zenu zimejenga nk
Badala ya kuwahaza watu ujinga kwamba hizi hela zimeletwa na rais.
Dhana hiyo hutafsiriwa kama vile rais ni kama baba watoto anavyotafutia mahitaji watoto wake, ambapo wao hawana mchango wowote.