The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ni upuuzi mtupu! Hakuna bajeti ya bunge? Wabunge ni wapuuzi sana!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.
Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja ni kodi zenu zimejenga hospitali nayo ni kodi zenu zimejenga nk
Badala ya kuwahaza watu ujinga kwamba hizi hela zimeletwa na rais.
Dhana hiyo hutafsiriwa kama vile rais ni kama baba watoto anavyotafutia mahitaji watoto wake, ambapo wao hawana mchango wowote.
Rais ndio Raia namba moja katika Taifa so Kila kitu ni chakeHizi kauli, zinapatikana kwenye taifa la kizezeta kama Tanzania tu. Pale Rwanda huwezi sikia eti pesa za Kagame, au Pesa za Mseven pale Uganda au Pesa za Ruto pale Kenya. Kenya wanaita ni pesa za Zerikali, the same na Uganda na Rwanda pia hata Burundi.
Ni tanzania tu ndio kuna huu ujinga na sababu kuu ni kwamba ujinga wa hili taifa ni asilimia 90 inavuka viwango vya ujinga vya Umoja wa Mataifa
Hujui kitu weweNi upuuzi mtupu! Hakuna bajeti ya bunge? Wabunge ni wapuuzi sana!
Unafiki upi?Ukishajua unafiki wa siasa za Tanzania huwezi kuumia kichwa
Hapa ndipo ujinga na ungumbaru unapoanzia Rais anaonekana kama mungumtu ambaye bila yeye nchi haina msosi shenzi kabisa!Rais ndio Raia namba moja katika Taifa so Kila kitu ni chake
Wewe unajua nini mtoto mdogo acha mikwara mbuzi na ujuaji wakati kichwa Yako ni box ndogo ya kondomu,Hujui kitu wewe
Ni kweli inadhoofisha mioyo ya walipakodiKama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.
Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja ni kodi zenu zimejenga hospitali nayo ni kodi zenu zimejenga nk
Badala ya kuwahaza watu ujinga kwamba hizi hela zimeletwa na rais.
Dhana hiyo hutafsiriwa kama vile rais ni kama baba watoto anavyotafutia mahitaji watoto wake, ambapo wao hawana mchango wowote.
Unaposema hivyo unamaanisha huyo raia namba moja hata watu wasipolipa kodi ataleta hela!?Rais ndio Raia namba moja katika Taifa so Kila kitu ni chake
Ungemuuliza maswala yafuatayo:Unaposema hivyo unamaanisha huyo raia namba moja hata watu wasipolipa kodi ataleta hela!?
Umenena vyema sana, ni ajabu Rais naye anaridhia huu ujinga na utoto na akijua kabisa kuwa zile ni pesa za kodi na mikopo ambayo bado italipwa na wananci tu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.
Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja ni kodi zenu zimejenga hospitali nayo ni kodi zenu zimejenga nk
Badala ya kuwahaza watu ujinga kwamba hizi hela zimeletwa na rais.
Dhana hiyo hutafsiriwa kama vile rais ni kama baba watoto anavyotafutia mahitaji watoto wake, ambapo wao hawana mchango wowote.
Kwa Tanzania ya wapumbavu yesRais ndio Raia namba moja katika Taifa so Kila kitu ni chake
Shida ni uzezeta wa hili TaifaUmenena vyema sana, ni ajabu Rais naye anaridhia huu ujinga na utoto na akijua kabisa kuwa zile ni pesa za kodi na mikopo ambayo bado italipwa na wananci tu.
Wewe ni ZOMBIERais ndio Raia namba moja katika Taifa so Kila kitu ni chake
Ni ujinga haswa, pesa ni za serikali na siyo mali ya mtuKama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.