Tuna kombe kabatini linaitwa SOLD OUT. Teh teh.[emoji599]KAULI ZA WANA SIMBA BAADA YA MECHI :
1. Timu tunayo ni suala la muda tu
2. Kocha tunaye ila mukwala apunguze mikimbio
3. Mbona hamjatufunga tano
4. Azam anachukua hili kombe
5. Refa ametunyima penati ya wazi
Ongezea Maneno mengine unayoyasikia huko
FOLLOW Lakezone Sports
#NgaoYaJamii2024 #๐๐๐ธ๐ฒ๐๐ฝ๐ฑ๐ฎ๐๐ฒ๐View attachment 3065057
na angewafungaNa alitaka kuwafunga
Itoshe kusema wewe ni mpumbavu.Watanzania hawajui mpira kwa kweli. Ushabiki gani huu unaovuka mipaka hata ulaya huwezi Kuta hii ushamba wa YANGA na Simba.
Hawa jamaa ni kama matahira.Ubaya ubwege [emoji23][emoji23]
Umemaliza mkuuItoshe kusema wewe ni mpumbavu.
Ubaya UfalaUbaya Uboya.
Basi nenda UlayaWatanzania hawajui mpira kwa kweli. Ushabiki gani huu unaovuka mipaka hata ulaya huwezi Kuta hii ushamba wa YANGA na Simba.