Kauli za wanasimba Baada ya kichapo jana

UBAYA 10 kuhusu UBAYA
1.
Ubaya ubaya
2. Ubaya ufala
3. Ubaya uboya
4. Ubaya ujinga
5. Ubaya ukuda
6. Ubaya uhuni
7. Ubaya ubwege
8. Ubaya umbwiga
9. Ubaya ushamba
10. Ubaya uhayawani.
[emoji23][emoji23]
 
Watanzania hawajui mpira kwa kweli. Ushabiki gani huu unaovuka mipaka hata ulaya huwezi Kuta hii ushamba wa YANGA na Simba.
hujui tu huko ulaya kuna timu ilifungwa waliofungwa wakawavizia mashabiki wa upande mwengine wakaanza kuwapiga! mpk polisi waliingilia kati!
 
punguza ushamba acha tu enjoy wengine hatuna timu ila vioja na vichekesho vinavyotokea kweye mpira ndio furaha yetu......
Sio ushamba ukweli ni kwamba watanzania hamjui mpira Wala kushabikia ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ngungus Boy anawazumu tuu
 

Attachments

  • FB_IMG_17232371236673470.jpg
    467.1 KB · Views: 2
Hakuna sehemu mshabiki wa simba kasema azam anachukua kombe
 
Tunaona mwanga
 
"Kwanza hii sio Ligi ni ngao ya jamii" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Haina nouma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ