[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] lini umeanza kusomea uchochezi?"Unanijua mimi ni nani?" Hili swali la kimkwara mkwara lilitutesa sana sisi wanyonge. Sasa hivi sijalisikia tangu October 2015.
Nikamuunga mkono kuwa siku hizi laki INA thamani. Heineken kutoka 4000 mpaka 2500Alimaanisha nayo ni kati ya kauli zilizotoweka
Leo jioni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] lini umeanza kusomea uchochezi?
"Tumia pesa ikuzoee"
Sasa hivi huwezi kuusikia,maana hata wale waliokuwa wanapata pesa kwa bahati mbaya hawapo.Msemo umepotea huu........sijui nitaupata wapi yarabi..........
Chenji milioni!!!laki si pesa.......
Andaa yale mavazi yetu mapemaLeo jioni
Haha ha ahahha ha hahahahTule, tunywe mpaka tunye