Natamani mganga huyo afungue branch Tanzania, hasa dar es salaam, Ukiiba tu simu naenda kwake, milio yote ya simu eheee....itokee tumboni mwa mwizi.....halafu kudadadeki...mimi nasafiri naenda mbeya nakaa huko kama mwezi hivi.....
Kuna mwizi feki, muibiwaji feki na waandishi wapiga dili. Baada ya mwaka mganga hatakuwa tena kwenye kakibanda hako na usafiri atakuwa nao, kuishi ni mipango.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.