Kaunti ya Nairobi kutupa miili ya watu 236 waliokosa kutambuliwa na ndugu

Kaunti ya Nairobi kutupa miili ya watu 236 waliokosa kutambuliwa na ndugu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy.

Wananchi wametakiwa kwenda kuitambua miili hiyo na kuichukua, na endapo hatatambuliwa au kuchukuliwa ndani ya siku 7, Kaunti ya Nairobi itaitupa miili hiyo.

Sababu za vifo vya marehemu hao ni pamoja na ajali za barabarani, mauaji, kuzama majini, kupigwa risasi, kifo cha kawaida na kifo cha ghafla.

=========================

The Nairobi City County will dispose 236 unclaimed dead bodies that are laying in morgues within the city.
In a notice, the County said 218 unclaimed bodies are lying at the Nairobi City Mortuary and 18 others are at the Mama Lucy Hospital Mortuary.

Members of the public have been urged to identify and collect the bodies, failure to which they will be disposed after 7 days of the notice.

“Pursuant to the Public Health Act Cap 242 [Subsidiary; PUBLIC HEALTH (PUBLIC MORTUARIES) RULES, 1991] (2). Interested members of the public are asked to identify and collect the below named bodies within 7 (seven) days, failure to which the Nairobi City County will seek authority for disposal,” the public notice reads.

Some of the bodies have been identified by names, while others remain unknown.

The causes of death for the unclaimed bodies range from road accidents, murder, drowning, shooting, natural death, sudden death, mob injustice among others.

The bodies that may soon be disposed were received in the morgues in a period between March 2021 and March 2022, having been registered in various police stations.

CITIZEN DIGITAL
 
Maisha magumu hadi watu wanakataa maiti zao

Jiji liwazike tu
 
Hatari Sana Hii
Ila Jiji Lichukue Jukumu Ya Kuizika Hiyo Miili
 
wanatupwa au kiswahili chawezetu kigumu kutupwa ndo kuzika
Lugha ndio inamtatiza sana mleta mada. Ametafsiri 'dispose' kama kutupa kwa kiswahili. Sasa sijui alimaanishaje, kwamba miili itatupwa baharini au mwisho wa dunia(gods must be crazy-style)?
 
Back
Top Bottom