Habari wana JF.
Naombeni msaada wa mawazo ama tiba. Jinsia yangu ni ME, umri 30.
Sentimita moja au mbili hivi kutoka kitovuni (upande wa kuelekea juu) kuna kauvimbe kanakuwa kanatokeza na kunywea/kupotea. Nikila chakula na kushiba, kauvimbe kanatokeza. Nikikabonyeza kwa kidole kanarudi ndani (kanapotea), ila baada ya muda mfupi kanatokeza tena.
Napoenda haja kubwa, ndipo kanapotea mazima. Mpaka napokula/naposhiba tena ndipo kanachomoza tena. Hakana maumivu yoyote. Nakaribia mwaka sasa tangu nigundue.
Nimejaribu kufanya some searches google, nahisi itakuwa ni HERNIA ambayo hutokea karibu na kitovu kwa upande wa juu.
Wakuu, kweli hiyo ni hernia? Mbali na operesheni, je kuna TIBA MBADALA za ASILI kuponya tatizo hilo?
Ahsanteni.