Kauzu zaidi ya dagaa!

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Wakiwa bustanini wamepumzika;
Eva: Adamu naomba unieleze ukweli kama kweli unanipenda kwa dhati mpenzi wangu?
Adamu: Mi sikupendi, kwani niliwahi kukwambia nakupenda?
Eva : Sa kama hunipendi mbona unalala na mimi kila siku, si ungeniacha?
Adamu: Siwezi kumaliza sabuni wakati wewe upo, mngekuwa wengi ningekupiga kibuti kitambo!Eva akabaki analia. Chezea wanaume weye?!!
:A S 103::A S 103:
 
kidogooooo
umejitaid lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…