Kava za kuvalisha godoro

Joined
Apr 25, 2020
Posts
33
Reaction score
61
Naomba kuuliza wapi naweza kupata kava za kuvalishia godoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama πŸ’”πŸ˜‚ nipo dar
 
Nenda kona ya mtaa wa kongo na kipata upande wa gerezani unashonewa cover la gorodo ndani ya dk 15 tu !
 
Nikajua kigodoro kumbe ni godoro 😁😁
Nafikiri ushapat maelekez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…