Kavua u boss

Si mumvalishe tu? Kwa nini mnamuacha aadhirike namna hii.
 
haaahaa sio kilakitu lazima ukiweke public,kipimo cha uungwana na roho nzuri sio kwa kufanya ili watu wakuone sukumwa na moyo hata wabaya wako watahusudu tu!!be real nassibu usichanganywe na washindani wako just relux if the game is yours man be a man boy
 
Sio yeye alie post ni uyo anaye fungwa kamba
 
Thumb up mkuuu.

[emoji106]
 
lazima ukijali kinachokuingizia kipato jamaa yuko vizuri😀
 
Aliyeweka public ni Rayvanny sio MOND, sio kila sehemu utuonyeshe umbumbumbu wako,ongea baada ya kuelewa.
 
iishie kwny kuwavalisha viatu tu asije akaanza pia na nguo za ndani Vitoto vya watu
 
Diamond yuko interactive sana sema watanzania ni wagumu kuona ndani....huyu jamaa hela anazokusanya bt still anaserebuka na dancer wake mwanzo mwisho...mwingine angeanza kuimba tu asicheze bt yeye yumo tu...he is humble for real..keep it up Di.
 
Angefanyiwa yeye MOND ingekuwa gumzo km ile ya wanasiasa fulani iliyotokea mwaka Jana, ila kwa vile kafanya yeye nadhan nothing wrong
 
inavyoonekana hiyo picture sidhani kama ndiye aliyetaka kupigwa...picha yeneye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…