mkuu bahati mbaya saana sheria haijui uchumba mkuu! kwani uliiingia naye mkataba? kama hakuna mkataba mzee imekula kwako hata hivyo mkuu mapenzi hayalazimishwi mwache aende zake!Ndugu zangu wanasheria nisaidieni ktk hili. Kuna Binti aliniahidi kuwa mke wangu, kwamba tutaoana. Ktk kipindi cha miaka minne nimekuwa nae km mchumba leo ananijia na kunikana, kumbuka kanipotezea muda wangu, alinipa ahadi feki ilioshindwa kutimizwa. Nishaurini nifanyaje ndugu zangu wataalamu wa sheria!
Ndugu zangu wanasheria nisaidieni ktk hili. Kuna Binti aliniahidi kuwa mke wangu, kwamba tutaoana. Ktk kipindi cha miaka minne nimekuwa nae km mchumba leo ananijia na kunikana, kumbuka kanipotezea muda wangu, alinipa ahadi feki ilioshindwa kutimizwa. Nishaurini nifanyaje ndugu zangu wataalamu wa sheria!
Mkuu Leonardo nimekupata, cjawah ishinae ndan km mrs wangu bt amekuwa akija kunisabhai ghetto mara nyingi, wakati mwingine amekuwa akilala kwangu, inaniuma kunizingua, serious naumia wadau! Hiyo pressumption kwa nin iwe applied kwa kinadada tu? Kwa nin ipo biased?