Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
ASASI YA KWANZA NI CCM.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza kuwa siku sio nyingi atawataja wahusika ili hatua ziweze kuchukuliwa.
Mohamed Kawaida ameyaeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoani Geita, akieleza kuwa ni jukumu la Vijana kuzilinda tunu za Taifa ambazo ni amani, umoja na mshikamano hasa wakati huu ambapo Taifa linajiandaa na uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
"Ninayo orodha ya hizo asasi za kiraia, ninayo orodha ya hivyo vyama vya siasa, ninayo orodha ya hizo Ngo's zinazotuma vijana kutaka kuharibu amani ya nchi yetu. Wakiendelea nitawataja hadharani ili serikali ichukue hatua dhidi yao." Amesema Kawaida.
Kwa upande mwingine katika hotuba yake, ameeleza kuwa UVCCM imejipanga kuhamasisha vijana kuipenda nchi yao na kushiriki kikamilifu katika ushiriki wa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu, akisisitiza umuhimu wa amani na utulivu kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa letu
View attachment 3317660
Kwani mlifuta lini ujinga?Hahahaha aisee CCM imewafanya watanzania wengi wajinga ili wawape hadithi kama hizi.
Haya mambo tunayoyaombeaombea kuna siku yatatufika tu.
Huyo dogo ni kijana, lakini anatumia mbinu outdated mno! Naona kaja na version nyingine ya m-pox na ebola. Ndio maana ccm inaendelea kutegemea vyombo vya dola, kama ushawishi wenyewe wa vijana ndio huu.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza kuwa siku sio nyingi atawataja wahusika ili hatua ziweze kuchukuliwa.
Mohamed Kawaida ameyaeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoani Geita, akieleza kuwa ni jukumu la Vijana kuzilinda tunu za Taifa ambazo ni amani, umoja na mshikamano hasa wakati huu ambapo Taifa linajiandaa na uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
"Ninayo orodha ya hizo asasi za kiraia, ninayo orodha ya hivyo vyama vya siasa, ninayo orodha ya hizo Ngo's zinazotuma vijana kutaka kuharibu amani ya nchi yetu. Wakiendelea nitawataja hadharani ili serikali ichukue hatua dhidi yao." Amesema Kawaida.
Kwa upande mwingine katika hotuba yake, ameeleza kuwa UVCCM imejipanga kuhamasisha vijana kuipenda nchi yao na kushiriki kikamilifu katika ushiriki wa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu, akisisitiza umuhimu wa amani na utulivu kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa letu
View attachment 3317660
Kwani mlifuta lini ujinga?
Haka ka, jamaa huwa, kanajiona kama Isaack Newton kwa, akili, huwa, kanaamini, Sana, upuuzi kanaoongea,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza kuwa siku sio nyingi atawataja wahusika ili hatua ziweze kuchukuliwa.
Mohamed Kawaida ameyaeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoani Geita, akieleza kuwa ni jukumu la Vijana kuzilinda tunu za Taifa ambazo ni amani, umoja na mshikamano hasa wakati huu ambapo Taifa linajiandaa na uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
"Ninayo orodha ya hizo asasi za kiraia, ninayo orodha ya hivyo vyama vya siasa, ninayo orodha ya hizo Ngo's zinazotuma vijana kutaka kuharibu amani ya nchi yetu. Wakiendelea nitawataja hadharani ili serikali ichukue hatua dhidi yao." Amesema Kawaida.
Kwa upande mwingine katika hotuba yake, ameeleza kuwa UVCCM imejipanga kuhamasisha vijana kuipenda nchi yao na kushiriki kikamilifu katika ushiriki wa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu, akisisitiza umuhimu wa amani na utulivu kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa letu
View attachment 3317660
Halafu Polisi walivyo Wapumbavu watamuamini. Ila hii video na huu wimbo utaachwaNinayo orodha ya hizo asasi za kiraia, ninayo orodha ya hivyo vyama vya siasa, ninayo orodha ya hizo Ngo's zinazotuma vijana kutaka kuharibu amani ya nchi yetu. Wakiendelea nitawataja hadharani ili serikali ichukue hatua dhidi yao." Amesema Kawaida.
Huyo dogo ni kijana, lakini anatumia mbinu outdated mno! Naona kaja na version nyingine ya m-pox na ebola. Ndio maana ccm inaendelea kutegemea vyombo vya dola, kama ushawishi wenyewe wa vijana ndio huu.
Ujinga hauwezi kufutika maana ni mtaji kwa watawala, ukiufuta CCM haiwezi kuwepo madarakani.
Huyo dogo ni kijana, lakini anatumia mbinu outdated mno! Naona kaja na version nyingine ya m-pox na ebola. Ndio maana ccm inaendelea kutegemea vyombo vya dola, kama ushawishi wenyewe wa vijana ndio huu.
Jina lake tu......KAWAIDA....jina linaakisi uwezo wake wa kufikiriMwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza kuwa siku sio nyingi atawataja wahusika ili hatua ziweze kuchukuliwa.
Mohamed Kawaida ameyaeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoani Geita, akieleza kuwa ni jukumu la Vijana kuzilinda tunu za Taifa ambazo ni amani, umoja na mshikamano hasa wakati huu ambapo Taifa linajiandaa na uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Ninayo orodha ya hizo asasi za kiraia, ninayo orodha ya hivyo vyama vya siasa, ninayo orodha ya hizo Ngo's zinazotuma vijana kutaka kuharibu amani ya nchi yetu. Wakiendelea nitawataja hadharani ili serikali ichukue hatua dhidi yao." Amesema Kawaida.
Kwa upande mwingine katika hotuba yake, ameeleza kuwa UVCCM imejipanga kuhamasisha vijana kuipenda nchi yao na kushiriki kikamilifu katika ushiriki wa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu, akisisitiza umuhimu wa amani na utulivu kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa letu
View attachment 3317660
Kichwan huyo jamaa ni Mbumbumbu MNooooHuyo dogo ni kijana, lakini anatumia mbinu outdated mno! Naona kaja na version nyingine ya m-pox na ebola. Ndio maana ccm inaendelea kutegemea vyombo vya dola, kama ushawishi wenyewe wa vijana ndio huu.
Yaani watu wanahatarisha amani, eti wakiendelea zaidi atawataja, huenda hata hiyo orodha hana!? Ikiwa watu hao ni hatari why asiwataje!?Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza kuwa siku sio nyingi atawataja wahusika ili hatua ziweze kuchukuliwa.
Mohamed Kawaida ameyaeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoani Geita, akieleza kuwa ni jukumu la Vijana kuzilinda tunu za Taifa ambazo ni amani, umoja na mshikamano hasa wakati huu ambapo Taifa linajiandaa na uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Ninayo orodha ya hizo asasi za kiraia, ninayo orodha ya hivyo vyama vya siasa, ninayo orodha ya hizo Ngo's zinazotuma vijana kutaka kuharibu amani ya nchi yetu. Wakiendelea nitawataja hadharani ili serikali ichukue hatua dhidi yao." Amesema Kawaida.
Kwa upande mwingine katika hotuba yake, ameeleza kuwa UVCCM imejipanga kuhamasisha vijana kuipenda nchi yao na kushiriki kikamilifu katika ushiriki wa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu, akisisitiza umuhimu wa amani na utulivu kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa letu
View attachment 3317660
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kihalifu. CCM haina tofauti na Bokoharam.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza kuwa siku sio nyingi atawataja wahusika ili hatua ziweze kuchukuliwa.