Kawambwa Afunguka Necta2012

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Waziri wa Elimu amesema chanzo cha wanafunzi kufeli ni kuzibwa kwa mianya ya wizi wa mitihani,Je haya ya kweli Jf
 
cr ap! hadi nimesikia hasira je anataka kuimply nini? kuwa zaid ya asilimia 80 walikua wanategemea kuiba mitihani? na je miaka mingine wote walikua wanaibia?
 
Kwa hiyo tuliofaulu miaka ya nyuma tuliiba mitihani?
 
Hapa waziri kamcheka lool
 
Sema hiyo ni factor mojawapo, lakini zipo na nyingine nyingi tu!
 
Lakini shule zingine wanaibaga
 
Nashindwa kuelewa kwa nn bado ni waziri hadi sasa!

Sent from my nokia 3310 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…