Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa jk anae shughulikia wizara nyeti ya elimu,amesema serikali haina pesa tena za kuwafadhil wanafunzi walokosa mikopo hvo wazazi watafute namna nyingine,ameyasema hayo katka kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na Itv kila siku ya jtatu.swali,kuna haja gani ya kutumia mabilion ya shilingi ktk maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wkt kuna watu wamekosa ufadhili vyuon?
Hili mbona linajulikana serikali imefilisika na haina pesa kwenye kihenge chake, mpaka leo hatujalipwa mishahara
Sijui wenzetu mapolisi na wanajeshi kama wamelipwa
Bora kutokuwa na Serikali kama ilivyo Somalia kuliko kuwa na Serikali legelege isiyokuwa na mipango ya maana pamoja na vipaumbele kwa mustakabali wa watu wake.
Kabisa Mkuu yani hii Serikali sijui inatupeleka wapi kwa kweli, hela za kusafirishia wafanya biashara kuzunguka na JK nje ya nchi wanazo ila kwa wanyonge wenyekupenda elimu hawana inauma kwa kweli, ila waelewe fredom is coming very very soon!!
mbona hela za kufanya vitu vingine zipo, hii serikali isiyotaka kuinvest kwenye elimu ni serikali mbumbumbu sana.
Itatugharimu sana baadaye
Katika sherehe ya miaka 50 hii kitu itagawiwa nchi nzima:View attachment 40389Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa jk anae shughulikia wizara nyeti ya elimu,amesema serikali haina pesa tena za kuwafadhil wanafunzi walokosa mikopo hvo wazazi watafute namna nyingine,ameyasema hayo katka kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na Itv kila siku ya jtatu.swali,kuna haja gani ya kutumia mabilion ya shilingi ktk maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wkt kuna watu wamekosa ufadhili vyuon?
Uzuri walio kosa wengi ni watoto wa wenye nazo wamesoma Academic na Mast. watoto wa Kantalamba huko wamepewa mikopo tena minene hongera sana kwa kuwakumbuka watoto wa wakulima serikali kazeni uzi hivyo hivyo mpaka kuwe na usawa nchi hii. Mzazi anamlipia mtoto ada milioni 2.3 atashindwaje kulipa ada ya chuo milioni 1.2? Safi sana
Uzuri walio kosa wengi ni watoto wa wenye nazo wamesoma Academic na Mast. watoto wa Kantalamba huko wamepewa mikopo tena minene hongera sana kwa kuwakumbuka watoto wa wakulima serikali kazeni uzi hivyo hivyo mpaka kuwe na usawa nchi hii. Mzazi anamlipia mtoto ada milioni 2.3 atashindwaje kulipa ada ya chuo milioni 1.2? Safi sana